ads

Sunday, 15 January 2017

UPENDO WA YESU BY UPENDO NKONE











Refrain:
Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka

Huku na huku
Kila ninapoimba
Niwapo nimelala
Ninapo tembea
Hata nikiwa nakula
Niwapo safarini
Nikiwa masomoni

Speaking:
Kila tunapokwenda tumezungukwa na nguvu za Mungu
Na kila tunalofanya ambalo ni kwa ajili ya utukufu wa jina lake
Tumezungukwa na upendo wake

Huku na huku na kule na hapo
Anitegulia mtego wa muovu
Ninalindwa kuliko wakuu wa dunia
Hata nikiwa pekee yangu
Na nikiwa nyumbani kwangu
Na nikiwa kazini

Huku na huku na huku
Nikiwa hospitalini
Nimezungukwa na nguvu za Mungu
Huku na huku he
Kama mawimbi, mawimbi…



Download our Gospel lyrics Android App Here

www.gospelyrix.com







No comments:

Post a Comment