ads

Tuesday, 20 June 2017

BARUA KWA MAMA LYRICS BY BAHATI











Barua kwa mama ah

barua kwa mama

nisikize,ungepewa nafsi uwe mzima

singetaka uende,

ndoto zangu nyingi zilizimwa tangu siku uondoke

ungepewa nafsi uwe mzima

singetaka uende,

ndoto zangu nyingi zilizimwa tangu siku uondoke



ulitaka sana niende shule,

nikaokoe kijiji mama,

nikirudi home nisiwe yule

*

nakumbuka maneno mazito yako

ah vile vile,



ah barua kwa mama,

ifikie mama,

ah barua kwa mama

nitakukukmbuka sana

ah barua kwa mama,

ifikie mama,

ah barua kwa mama

nitakukukmbuka sana,mama



mama ,mama am coming to you

as you know mama we are coming from far

*but we kept on dreaming ,

and we never gave up

i told you mama i will make you proud of me

as you know mama,



ah barua kwa mama,

ifikie mama,

ah barua kwa mama

nitakukukmbuka sana

ah barua kwa mama,

ifikie mama,

ah barua kwa mama

nitakukukmbuka sana,mama


Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Sinach lyrics Android App Here


www.gospelyrix.com







No comments:

Post a Comment