ads

Tuesday 16 June 2015

Daddy Owen - Vanity Lyrics 2015



www.gospelyrix.com

Namuona na gari kubwa kuliko shida zake, Namuona na wanawake
Alisema hakuna mungu watu wajipange, Anadhani ni nguvu zake
Akigonjeka dakitari anatoka ng’ambo, Akiboeka hapo utaona mambo
Maombi kwake ni kelele, Ndio nimeona nikueleze

Ooh hashtag
#NEBUCCHADNEZZAR
Sauli pia atakueleza
(CHORUS :
Nasema Hashtag
#NEBUCCHADNEZZAR
Haijalishi yale umeweza
Yote ni VANITY
Ooh Ohh
VANITY
Ooh
Bila Yesu ni VANITY
Ooh Ooh
Vanity.. X2)

Namuona na sketi fupi kuliko Miaka yake, Anataka Tumeze Mate
Alisema mmoja hawezi zima moto wake, Ana wanaume wanane
Haumpati Kanisani, ila ile siku ya Harambee , Ya Asusu
Asusu Eh, Asusu..
Haamini Mungu Yuko, Ye Husema Atalishwa na Matunda Ya Usupu

Usupu Eh , Usupu…
/CHORUS/
Usimdharau Binadamu Mwenzio Kuwa Eti Wewe Unapesa, Mali na Magari
Haya Yote Ni Ubatili
Shukuru Mungu Kwa Uhai
Usijisifu Sana Na Huu Mwili
Huu Mwili Ni Chakula Cha Mchwa

(Yote ni VANITY
Ooh Ohh
VANITY
Ooh
Bila Yesu ni VANITY
Ooh Ooh
Vanity.. X2)
Vanity, Vanity
Mbele za Bwana x2
Ubatili Mbele za Mungu Tuache
Kaa, Kaa, Kaa Vizuri..
Mbele Za Mungu
Kaa, Kaa, Kaa Vyema..
Mbele Za Bwana
Vanity, Vanity…

DOWNLOAD GOSPEL LYRICS APP HERE

No comments:

Post a Comment