RINGTONE - WANADAMU LYRICS 2015
eeyaa,,, Ringtone
eeyaa,,, Mwanapolo
Wanadamu ni wazuri ukiwa nao
ukiwapa wanakusifia, ukiwanyima wanakuchukia
ukikosa wanakugeuka. x 2
Na ukiwa na mapeni, wote wanakushangilia
Na ukiwa na madeni, wote wanakukimbia x 2
si ni hao hao, wanataka party Sarova
Si ni hao hao, wamejaa kwenye Range Rover
Nikiwa Nao Mambo safi,nikitoka wananipiga pasi
Bado ni hao hao, ukisota wanapotelea
Ungoje watarudi siku ile mambo ni safi
Ni hao hao, mjichunge ni hao hao
Wanadamu ni wazuri ukiwa nao
ukiwapa wanakusifia, ukiwanyima wanakuchukia
ukikosa wanakugeuka. x 2
Na ukiwa na mapeni, wote wanakushangilia
Na ukiwa na madeni, wote wanakukimbia x 2
Marafiki wagani hao, wanalia wakikukopa
wewe ukiwakopa uta ulie hawatakupa
Wapiga kura wanalia pia, mwanasiasa amebadilisha namba
Kanisani wanalia mbona pastor ni kulipa appointment
Wanadamu ni wazuri ukiwa nao
ukiwapa wanakusifia, ukiwanyima wanakuchukia
ukikosa wanakugeuka. x 2
Na ukiwa na mapeni, wote wanakushangilia
Na ukiwa na madeni, wote wanakukimbia x 2
Amelaaniwa mtu yule anayeweka imani kwa watu
Amebarikiwa mtu yule anayeweka imani kwa mungu
Wagonjwa wanalia daktari, wasafiri wanalia madereva eeh eeh
Walimu wanalia serikali, nasema tulilie mungu eeh eeh x2