Willy Paul
Matimes huanga nanung'unika, nikipata chuki
na mi natafuta Yesu, wangu wa maishani
Kambua
Kweli kafanya nishikilie Baba, lakini bado
mimi Kambua sijafika, nahitaji, uwepo wako
Ndio maana, usiku na mchana ntakupa sifa aah eeh
lalala
Wapi Gloria?
Gloria
Ilianza Omwami Aletsa, ikafuata Yesu Iroma
Ikaja Kibali na bado ukasonga
Tulipotoa sitolia mwana, walidhani tumefika aah aah
Kumbe, ilibidi tufollow, follow You: Where you go
nangojea matokeo yangu: bado nangoja matokeo
hata baada ya mpango wa kando, sijafika
tuma aah Baba, msaidizi kwangu maana zaidi,
nataka nimwone Yesu maishani mwangu
No comments:
Post a Comment