ads

Monday 7 December 2015

STORY YANGU LYRICS BY BAHATI AND DENNO














www.gospelyrix.com


Verse1



Nisikize (mtoto wa mama ,

Hivi unavyoniona, ah mimi deno,

Nimetoka na mbali sana, eh)x2

Eh eh kangemi nikazaliwa ,ah

Ata mwangaza sikuwahi kuja kuona
x2




(Refrain)

Story yangu,

Ni story yangu

Ebu rafiki nipe sikio,

me nataka simulia

verse2



Najua uchungu,

maswali mengi kwako moyoni

Kwa nini mola iwe hivi

Kwa nini mola iwe mimi,

Najua uchungu na mimi haunioni,

Niko na rasta lakini mboni,

Imefungika wapewa story,

99 mama alipoondoka,

sikiza nikupe story

Kumbuka ghetto ni ngori

99 baba akanitoka,

Sana ikawa machozi ,

Mchanga na sijiwezi,

Maisha kung’ang’ana nikaona
siwezi

Ndoto zangu nikatupa mbali,x2

Ila leo niko mahali,

Maisha kung’ang’ana nikaona
siwezi

Kumbe mungu aliona mbali,

Ivyo mziki amenipa mimi




(Refrain)

Verse3

Nasema mungu ni mwema,

Stori zimebadilika,

Leo hii tunaimba wanabarikiwa,x2











No comments:

Post a Comment