ads

Sunday, 15 January 2017

KANISA LYRICS BY UPENDO NKONE











Atachukua kanisa taratibu *3
Yesu akija,
Lililo okoka kwa neema,
Limeasafishwa kwa damu
Atachukua kanisa tatifu
Akija.
Kanisa safi bila madoadoa,
Limesafishwa kwa damu,
Kanisa safi nami mmoja wao
Limesafishwa kwa damu x2

He's gonna come for the glorious church
He's gonna come for the glorious church
He's gonna come for the glorious church
When he comes,
Saved by grace, sanctified by his church,
Holy church that is ready for him
He's gonna come for the glorious church when he comes.

Atarudi Yesu x2
Kuchukua kanisa.

Jisafishe moyo wako ndugu yangu,
Akirudi Yesu Kristo usiachwe
Itakuwa huzuni kwa wale wote watakaobaki,
Watalia na kuomboleza, wakijutia maovu waliyotenda,
Angalia ndugu yangu usiachwe
Yesu akija.



Download our Gospel lyrics Android App Here

www.gospelyrix.com







No comments:

Post a Comment