ads

Monday 9 January 2017

KUNA DAWA - ESTHER WAHOME











Chorus
Kuna dawa, Kuna dawa,x4

Verse 1:
Nayatangazia Mataifa,
Kuna dawa na waipokee,
Dawa ni Kumpokea Yesu,
Oh Kuna dawa.
[repeat]

Chorus
Kuna dawa, Kuna dawa,x4

Verse 2:
Pokea dawa bila malipo,
Yaponya roho na pia mwili,
Yaondoa dhiki na laana,
Oh, kuna dawa.
[repeat]

Chorus
Kuna dawa, Kuna dawa,x4

Verse 3:
Nawasihi wote mnywe dawa,
Wazee kwa vijana tunywe dawa,
Watoto pia wapewe dawa,
Oh, kuna dawa.
[repeat]

Chorus
Kuna dawa, Kuna dawa,x4





www.gospelyrix.com







No comments:

Post a Comment