ads

Monday 9 January 2017

LOVER - BAHATI

Ni furaha ilioje Baba naitoa moyoni,
Na nifuraha ilioje kwako usikie hewani,

Ni barua ngapi nimendika kwa njia ya muziki?
Na nyimbo ngapi nimeandika zisizo za riziki. x2

Refrain:
[Nikikwita mpenzi, mpenzi, mpenzi,
Nikikwita Daddy]x2

[Ili kufunga nilifunga ila siri sitaki wajue,
Msamaha nikaomba kwa magoti nisikuzingue.] x2

CHORUS:
[Ni barua yangu ya mapenzi nimeona niimbe,
Ni barua yangu ya mapenzi nimeona niandike.] x2

Kama mapenzi msalabani ulifanya zaidi,
Na kama kipaji kwa burudani we kuwa nami. X2

CHORUS:
[Ni barua yangu ya mapenzi nimeona niimbe,
Ni barua yangu ya mapenzi nimeona niandike.] x2

[Wengi mjini wanaodai mapenzi kule walaghai,
Wana manabadili face kama kinyonga kamwe hawafai.] X2

CHORUS:
[Ni barua yangu ya mapenzi nimeona niimbe,
Ni barua yangu ya mapenzi nimeona niandike.] x2

[Ni barua yangu ya mapenzi nimeona niimbe,
Ni barua yangu ya mapenzi nimeona niandike.]X2

CHORUS:
[Ni barua yangu ya mapenzi nimeona niimbe,
Ni barua yangu ya mapenzi nimeona niandike.] x2

www.gospelyrix.com

No comments:

Post a Comment