ads

Monday 9 January 2017

NDIO YAKO BY GLORIA MULIRO











ngelikuwa Mungu anauliza mwanadamu,
Jinsi ya kumtendea mwanadamu,
Basi mimi nisingekuwa jinsi nilivyo,
Hata tena nisingekuwa mahali nilipo,
Ungeambiwa sifai, wangekukanya vikali,
Ungekumbushwa dhambi zangu za kale,
Unabariki unayependa, unabariki unavyopenda.

Refrain:
Nahitaji ndio yako yesu tu,
Nahitaji ndio yako yesu tu,
Ninataka ndio yako Yesu tu,
Ndio yako itanisimamisha,
Ndiyo yako ndiyo itanifungulia milango.

Hakuna sikio lenye funiko jamani,
Wala sijaona jicho lenye pazia,
Adui zako wangelikuwa na uwezo,
Wangefumba macho, wangefunika masikio,
Wasikuone ukiwa juu, wasisikie umebarikiwa,
Meza utaandaliwa mbele yao,
Utakula, utakunywa mbele yao,
Nasema ndio, ndio ya Bwana.

Refrain:
Nahitaji ndio yako yesu tu,
Nahitaji ndio yako yesu tu,
Ninataka ndio yako Yesu tu,
Ndio yako itanisimamisha,
Ndiyo yako ndiyo itanifungulia milango.

Bridge:
Yesu usiposema ndio, mali yangu, akili zangu hazitaweza
(Jesus If you don’t say yes; my possessions, my mind will not be able)
Bwana sema, sema ndio, yatosha (Lord say, say yes, it is enough)

Refrain:
Nahitaji ndio yako yesu tu,
Nahitaji ndio yako yesu tu,
Ninataka ndio yako Yesu tu,
Ndio yako itanisimamisha,
Ndiyo yako ndiyo itanifungulia milango.




www.gospelyrix.com







No comments:

Post a Comment