NI WEWE BY EUNICE NJERI
Naomba uniweke kwako ndani,
Niwe imara kama milima Zayuni,
Hauta anguka kukiwa na mawimbi,
Wala kutikiswa kukiwa na adui,
Kila kitu ni wewe.
Refrain:
Kila kitu changu ni wewe,
Ninaye mwimbia, ni wewe,
Maishani mwangu, nimeamua ni wewe.
Mi nimeshangazwa na matendo yako Baba,
Ulivyonichukua na kunitunza kama wako,
Sa mi ni wako, Kwangu kwako,
Ukanipenda, ukaniita mwana wako.
Refrain:
Kila kitu changu ni wewe,
Ninaye mwimbia, ni wewe,
Maishani mwangu, nimeamua ni wewe.
Juu, chini, kushoto kulia,
Sijamwona kama wewe,
Sa mi ni wako, Kwangu kwako,
Ukanipenda, ukaniita mwana wako.
Refrain:
Kila kitu changu ni wewe,
Ninaye mwimbia, ni wewe,
Maishani mwangu, nimeamua ni wewe.