ads

Monday 9 January 2017

SITOLIA - WILLY PAUL FT GLORIA MULIRO

Fahamu anakupenda sana,
Nayo salvation yako haitadunda,
Ye msela, sina hela, Alikupenda bila hela (x2)

Amekuwa akinihanda, amekuwa akinitesa mimi,
Sababu mimi (?), na sina hela,
Miye fukara, just imagine,
Bado nafsi yangu, ni kwako wewe,
Kuokoka kwangu, ni kwako wewe,
Ni kwako, ni kwako; Ni kwako, ni wewe.(x2)

Refrain:
Oh Sitolia mimi, Nafahamu uko na mimi jalali,
Iye sitolia mimi, Nafahamu upo na mimi maulana,
Ni kweli usilie mwenzio, Maulana yuko na wewe akujali,
Kiganjani mwake amekuweka, hautabanduka.

Ni kweli uko mbali na mimi, Uko mbali na uga wangu,
Lakini msela mimi huyu, Sitolia kamwe,
Mwana we, mwana; nakwambia tulia,
Mwana we, mwana; si vema kulia,
Mola anakuangalia, anakufikiria,
Atakuangazia.

Mateso ni ya muda tu, mtihani utaupita tu,
Hata usiku uwe mrefu ndugu, kutapambazuka,

Refrain:
Oh Sitolia mimi, Nafahamu uko na mimi jalali,
Iye sitolia mimi, Nafahamu upo na mimi maulana,
Ni kweli usilie mwenzio, Maulana yuko na wewe akujali,
Kiganjani mwake amekuweka, hautabanduka.

Ni heri ni mtazamie yeye, mtazamie maulana,
Ni heri ni mkimbiliye yeye, mkimbilie mola,
Ni heri ni nimtumainie yeye, mtumaini mola.

Refrain:
Oh Sitolia mimi, Nafahamu uko na mimi jalali,
Iye sitolia mimi, Nafahamu upo na mimi maulana,
Ni kweli usilie mwenzio, Maulana yuko na wewe akujali,
Kiganjani mwake amekuweka, hautabanduka.

www.gospelyrix.com

No comments:

Post a Comment