SHULE YAKO BY MERCY MASIKA
[refrain]
Baba nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako
nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako
verse 1
Nikiwa nawe kama mwalimu,
ninajua nitahitimu,
nitashinda adui, akileta majaribu
unitayarishe, unibadilishe,
mtihani nipite, mwito nitimize,
nijue kuandika, niandike maono yangu,
nijue kuhesabu, nihesabu baraka zako ,
nijue kuongea , nihubiri neno lako oh ,
kwa watu wako
[refrain]
Baba nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako
nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako
verse 2
Shule yako hatudanganyi, ni ukweli na uwazi,
wanafaunzi hawagomi, mwalimu atujali,
unifunze mipango, wote niwaheshimu,
Yesu ni mwalimu, Yesu ni mwalimu
nijue kuandika, niandike maono yangu,
nijue kuhesabu, nihesabu baraka zako ,
nijue kuongea , nihubiri neno lako oh ,
kwa watu wako
[refrain]
Baba nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako
nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako
Baba nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako
nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako