UMEWAZIDI WOTE BY: BAHATI BUKUKU
Maneno yao umeyasikia (×2)
Eti wanasema hivi nilivyo si hazi yako
Eti wanasema kukupata wewe mimi sio hazi yako
Eti wanasema mimi nilivyo elimu yangu ndogo
Maneno yao umeyasikia maneno yao
Eti wanasema mimi si fanani kuwa na nyumba hiyo
Eti wanasema mimi nilivyo si hazi yako
Hawajui tulianzia wapi hawajui
Hawajui Kuna siri gani hawajui wanavyo tazama majumba hayo hawajui
Hawajui mchango wangu kwako hawajui
Wanavyo kutazama unavyo pendeza hawajui
Hawajui hekima yangu kwako hawajui
Hawajui ushauri wangu umekufikisha hapo
Maneno yao nimeyasikia maneno yao
Hawajui busara zangu zimekupa uonekane
Hawajui maombi yangu ndiyo yana kubeba
Hawajui nafasi yangu kwako hawajui Hawajui busara yangu kwako hawajui
Hawajui ninavyo kuombea hawajui
Wananitazama wanani hukumu ila hawajui
Wanasema sifanani nawe wanasema hawajui maombi ninavyo omba yanakupa cheo
Wanasema maneno yao wanasema (×2)
Siku zote tabasamu rangu ni faraja kwako
Ila wanasema hawajui wao wanasema
Maneno mazuri ninayo tamka ukienda kazini
Ndiyo maana cheo kinapanda ndiyo maana
Ndiyo maana ofisini una heshima ndiyo maana
Ndiyo maana unapata nafasi nzuri ndiyo maana
Ndiyo maana biashara zinakwenda ndiyo maana
Ushauri wangu kwa wanandoa wote siku zote
Ushauri wangu kwa wanaume wote siku zote
Neno hili lisitoke kinywami mwenu neno hili (×2)
Binti zao wengi wamefanya mema lakini mke wangu (amewazidi wote)
Mabinti wao wamefanya mama ila huyu peke yake (amewazidi wote)
Nimewaona warembo wengi lakini yeye (amewazidi wote)
Nimewaona warembo wengi yeye mke wangu (amewazidi wote)
Katika mabinti nilio waona yeye peke yake (amewazidi wote)
Nimewaona warembo wengi lakini yeye (aliwazidi wote)
Katikati ya wasomi wengi yeye peke yake (amewazidi wote)
Hatanilipo tembelea vyuo vyote yeye peke yake (aliwazidi wote)
Nilipotembelea vijiji vyote yeye mke wangu (aliwazidi wote)
Ndoa ina siri kubwa ndoa ina (×4)
Moyo una siri kubwa moyo una (×4)
Ndoa ina siri kubwa ndoa ina (×2)
Moyo una siri kubwa moyo una (×3)