Nataka Nimjue ee,
Mimi Nataka Nimjue,
Mwenzenu Nataka Nimjue Oo Yesu Ooh Yesu Ooh,
Yesu wee, Halleluhya
CHORUS
Nataka Nimjue,
Mimi Nataka Nimjue,
Huyu Yesu Wee,
Zaidi Nataka Nimjue,
Mwenzenu Nataka Nimjue Bwana Wangu. x2
VERSE 1
I thought I Knew You Already Lakini Nimegundua,
Bado Ee,
The More I Go Deep Ndio Natambua Bado,
Sijakujua,
Mbona Surprise Surprise Kila Leo Wee,
Style Lililo Jana Sikama Ya Leo Wee,
Matendo Uliyotenda Jana Mbona Si Ya Leo,
Everyday Surprise Surprise Surprise Ooh,
Nataka Nimjue,
Mimi Nataka Nimjue,
Zaidi Nataka Nimjue,
Nimeona Alivyofuta Machozi Pale Sikama Hapa,
Mbona Alivyotembelea Nyumba Ile Si Kama,
Kwangu,
Na Vile Alivyonisemesha Jana Si Kama Leo,
Ishara Nilizo ziona Jana Si Kama Za Leo,
Mgonjwa Alivyo Mponya Jana Si Kama Huyu Wa,
Leo,
Mara Huyu Jitwike Godoro Lako Uende Mara,
Imani Yako Imekuponya,
Mimi Nataka Nimjue,
Mwenzenu Nataka Nimjue,
Zaidi Nataka Nimjue, Nimjue.
CHORUS
Nataka Nimjue,
Mimi Nataka Nimjue,
Huyu Yesu Wee,
Zaidi Nataka Nimjue,
Mwenzenu Nataka Nimjue Bwana Wangu x2
VERSE 2
Eeh Mungu Kumbe Jina Lako Jingine Wewe,
Waitwa Rejected,
Ukitegwa Na Jamii Wewe Ujue Hiyo Ni Ishara,
Yake,
Ukiona Mawimbi Yamezidi Usiogope Yuko Ndani Ya,
Boat,
Mungu Hajachoshwa Nawe Anampango Na Wewe,
Usikate Tamaa Usirudi Nyuma Anampango Na Wee,
Jangwa Unalopitia Kumbe Anampango Na Wee,
Maumivu Unayosikia Anatengeza Chombo Kipya,
Adui Unawaona Leo Kamwe Hutawaona Tena,
Eeh Nataka Nimjue,
Mimi Nataka Nimjue,
Zaidi Nataka Nimjue,
Kumbuka Mawazo Ya Mungu Si Kama Yetu ee,
Wala Akili Zake Si Kama Zetu Wee,
Si Mpango Wa Mungu Hata Mmoja Apotee,
Aliporuhusu Jaribu Hilo Alijua Unaweza,
Ujue Jicho Lako Lalingana Na Imani Yako,
The Greater Your Test, The Greater Your,
Testimony,
Eeeh Mi Nataka Nimjue Eeeh,
Nataka Nimjue Mwanaume Huyu,
Ambaye Hata Upepo Na Bahari Zinamtii,
Nataka Nimjue,
Zaidi Nataka Nimjue ,Nimjue, Nimjue Yesu,
CHORUS
Nataka Nimjue ( Nimjue Bwana),
Mimi Nataka Nimjue (Mwenzenu Nataka Nimjue
Yesu),
Huyu Yesu Wee,
Zaidi Nataka Nimjue,
(Moyo Wangu Watamani),
Mwenzenu Nataka Nimjue Bwana Wangu. x2
Nataka Nimjue, Yesuuu,
Mwenzenu Nataka Nimjue Bwana Wangu,
Nataka Nimjue,
Mimi Nataka Nimjue,
Huyu Yesu Wee,
Zaidi Nataka Nimjue (Zaidi Zaidi),
Mwenzenu Nataka Nimjue Bwana Wangu x2
Download our Gospel lyrics Android App Here
Download Sinach lyrics Android App Here
Visit Our Information Technology Site
Download Sinach lyrics Android App Here
Visit Our Information Technology Site