wewe ni mungu
wewe ni mungu
hivi leo nimejua wewe ni mungu
wewe ni baba
wewe ni baba
hivi leo nimejua wewe ni baba
wewe ni babaaa
wewe ni baba
hivi leo nimejua weweni baba
wakati wa ayubu ulipo mtambulisha hapo ndipo ninajua wewe ni baba
wakati wa ayubu ulipo mthibitisha hapo ndipo nilipojifunza kuwa ni baba
wakati wa ayubu ulipomkamilisha hapo ndipo ninajua wewe ni baba
wewe ni baba
wewe ni baba
hivi leo nimejua wewe ni baba
wewe ni baba
wewe ni baba peke yako nimejua wewe ni baba
wewe ni baba tena ni mungu
hivi leo nimejua wewe ni baba
wewe ni baba
wewe ni baba
hivi leo nimejua wewe ni baba
kama ulivyoruhusu mabaya yaje kwangu ndivyo uruhusu na mema yanifate
kama ulivyoruhusu aibu ije kwangu ndvyo uruhusu heshima inifate
kama ulivyoruhusu magonjwa kwangu ndivyo uruhusu uzima unifate
kama ulivyoruhusu mabaya yaje kwangu ndivyo uruhusu na mema yanifate
instrumental
wewe ni mwalimu
wewe ni mwalimu
hakuna anayeweza kutoroka kipindi chako
wewe ni mwalimu
wewe ni mwalimu
hakuna anayeweza kukwepa darasa lako
wewe ni jaji
wewe ni jaji
unahukumu kwa akili wewe ni jaji
wewe ni jaji nimekujua hivi leo nimekujua wewe ni jaji
wewe mtetezi
wewe mtetezi
hivi leo nimekujua wewe mtetezi
unapoumizwa na watesi nimekuona
mimi leo nimekujua wewe mtetezi
kama ulivyoruhusu aibu ije kwangu ndvyo uruhusu heshima inifate
kama ulivyoruhusu magonjwa yaje kwangu ndivyo uruhusu uzima unifate
kama ulivyoruhusu aibu ije kwangu ndvyo uruhusu heshima inifate
wakati wa ezekia alipokuita huku nyamaza ni wewe baba uliye muhurumia wewe ni mungu
wewe ni babaaaaa X2
mmmmmmmm
wewe ni mungu
wewe ni mungu
hivi leo nimejua wewe ni mungu
wewe ni baba
wewe ni baba
hivi leo nimejua wewe ni baba
wewe ni baba
wewe ni baba
peke yako nimejua wewe ni baba
wewe ni mungu
wewe ni mungu
hivi leo nimejua wewe ni mungu
wewe ni baba
wewe ni baba
hivi leo nimejua wewe ni baba
wewe ni baaaaaba
Download our Gospel lyrics Android App Here
Download Sinach lyrics Android App Here
Visit Our Information Technology Site
Download Sinach lyrics Android App Here
Visit Our Information Technology Site