ads

Tuesday, 20 February 2018

HATUA ZA MWENYE HAKI BY: CHRISTINA SHUSHO

Hatua za mwenye haki, zaongozwa naye bwana,
na Bwana ufurahia, njia zake wakati wote X2

Nakukabidhi Bwana, njia zangu zote,
pia nakutumaini, najua Bwana utafanya,
Ata nijapojikwaa, sitaanguka chini,
Bwana
utanishika
mkono na kunitengenezaX 2

Bwana nimetambua
unafanya kazi kwa siri ndani yangu.

umwangazia mtumishi wako , uso wako,
maana ninayatamani maagizo yako.
Elekeza hatua zangu, kwa neno lako,
uovu usije ukanimiliki X2

[Refrain]
Ongoza hatua zangu, (ee bwana) X2
Ongoza mwendo wangu, (ee bwana) X2

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site

>

UNAWEZA BY: CHRISTINA SHUSHO

(Unaweza)x2
(Unaweza eh mwokozi)x2
(Unaweza) x2
(Unaweza eh mwokozi)x2
(Unatosha) x2
(Unatosha eh mwokozi)x2
(Una nguvu ) x2
(Una nguvu eh mwokozi)x2
(mwaminifu) x2
(mwaminifu eh mwokozi)x2

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site

IM GONNA WORK FOR THE LORD BY: CHRISTINA SHUSHO

I'm gonna Work for the Lord, I'm gonna work for Him,
I'm gonna Work for the Lord, The rest of my Life
I'm gonna Work for the Lord, I'm gonna work for Him,
I'm gonna Work for the Lord, The rest of my Life

I'm gonna Work for the Lord, I'm gonna work for Him,
I'm gonna Work for the Lord, The rest of my Life.
I'm gonna Work for the Lord, I'm gonna work for Him,
I'm gonna Work for the Lord, The rest of my Life.

He is the strength of my life, The power behind me.
I'm gonna Work for the Lord, The rest of my Life.
Bwana ni nguvu yangu, afya ya moyo wangu, (The Lord is my strength, The health of my heart)
I'm gonna Work for the Lord, The rest of my Life
He raises from Zero to hero, Zero to hero,
From shame to fame, from glory to glory,
I'm gonna work for the Lord , (I'm gonna) X3

I'm gonna Work for the Lord, I'm gonna work for Him,
I'm gonna Work for the Lord, The rest of my Life.
I'm gonna Work for the Lord, I'm gonna work for Him,
I'm gonna Work for the Lord, The rest of my Life.
I'm gonna Work for the Lord, I'm gonna work for Him,
I'm gonna Work for the Lord, The rest of my Life.
I'm gonna Work for the Lord, I'm gonna work for Him,
I'm gonna Work for the Lord, The rest of my Life.

I'm gonna worship Him, I'm gonna praise His name,
I'm gonna work for the lord, the rest of my life,
I'm gonna sing for Him, the song of Joy,
I'm gonna work for the lord, the rest of my life,
I'm gonna dance, dance , dance, I'm gonna shout, shout, shout
I'm gonna praise His name, the rest of my life,
Nitasema ndio, ndio, ndio kwa bwana, (I will say yes, yes to my Lord)
I'm gonna praise His name, the rest of my life,

I'm gonna Work for the Lord, I'm gonna work for Him,
I'm gonna Work for the Lord, The rest of my Life.
I'm gonna Work for the Lord, I'm gonna work for Him,
I'm gonna Work for the Lord, The rest of my Life.
I'm gonna Work for the Lord, I'm gonna work for Him,
I'm gonna Work for the Lord, The rest of my Life.
I'm gonna Work for the Lord, I'm gonna work for Him,
I'm gonna Work for the Lord, The rest of my Life.

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site

UMENIFANYA NINGARE BY: CHRISTINA SHUSHO

CHORUS:
Umenifanya ning’are, umenifanya ning’are (You make me shine)
Umenifanya ning’are, Yesu (Jesus You make me shine)
Umenifanya ning’are, umenifanya ning’are (You make me shine)
Umenifanya ning’are, Yesu (Jesus You make me shine)

Wewe waitwa nuru, eti nuru ya watu (You are called the light of men)
Ukiingia kwangu, mi nang’ara (I shine when you are in me)
Ndani ya hiyo nuru, eti kuna uzima (There is life in that light)
Ukiingia kwangu, nina uzima (I live when you are in me)
Uso wake Yesu, sura yake Mungu (The face of Jesus, the face of God)
Umeingia kwangu, mi nang’ara (I shine when You are in me)
NUru ya injili, utukufu wake Kristo (The light of the Gospel, the Glory of Jesus)
Umeingia kwangu, mi nang’ara (You are in me, and so I shine)

Umenifanya ning’are, umenifanya ning’are (You make me shine)
Umenifanya ning’are, Yesu (Jesus You make me shine)
Umenifanya ning’are, umenifanya ning’are (You make me shine)
Umenifanya ning’are, Yesu (Jesus You make me shine)

inuka uangaze we, nuru yako umekuja (Rise and shine, your light is here)
Utukufu wa Bwana, umekuzukia (The glory of the Lord is upon you)
Mataifa watakujia, wafalme watakuja (Kings and nations will come)
Utukufu wa Bwana, umukuzukia we (The glory of the Lord is upon you)

inuka uangaze we, nuru yako umekuja (Rise and shine, your light is here)
Utukufu wa Bwana, umekuzukia (The glory of the Lord is upon you)
Mataifa watakujia, wafalme watakuja (Kings and nations will come)
Utukufu wa Bwana, umukuzukia we (The glory of the Lord is upon you)

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site

MAVUNO Ft Mireille Basirwa BY: CHRISTINA SHUSHO

Ingawa mtu aenda zake ,akilia,
amechukuapo mbengu,za kupanda,
hakika atarudi ,kwa kelele za furaha,

apandaye haba atavuna haba,
apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu,
jipandie katika haki,
utavuna kwa fadhili,

umetumika kwa machozi,
umepanda mbengu kwa kulia,
husichoke ndugu,
bwana yesu yuko nawe,
jipe moyo wo wo wo ,
asubuhi imefika,

CHORUS:
(huu ni mwaka wa mavuno) x4

(shusho)
mwenye kuangalia upepo ,atapanda,
naye atazamaye mawingu,atavuna,
jipe moyo mpendwa,
asubuhi imefika ,msidanganyike,
mungu wetu hadhihakiwi ,
chochote apandaye mtu,atavuna,
ukipanda dhuluma,utavuna uovu,
ukipanda mema utavuna mema,
chochote upandacho,ndicho utavuna,

umetumika kwa matusi ,
umepanda mbengu kwa kulia,
husichoke mpendwa,
utavuna kwa wakati wako,

CHORUS:
(huu ni mwaka wa mavuno) x4

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site

KITU GANI REMIX BY: CHRISTINA SHUSHO

CHORUS:
Nishike mkono ,mungu wangu (hold my hand my God)
husiniache eh,bwana wangu (don't leave me ,my lord) x4

kitu gani baba,(what is father?)
kinitenge na wewe,(to isolate me from you)
kitu gani yesu (what is it jesus?)
kinitoe kwa kwako (to take me away from you)
kama ni dhiki (if it is distress )
sikuja na kitu duniani (i came with nothing to the world)
kama ni uchi (if its nakedness)
nalizaliwa uchi (i was born naked)
kama ni njaa (if it is famine)
wengine wanakufa nayo (others are dying of it)

hakuna cha kunitenga nawe ,(nothing to isolate me from you)
tenga nawe eh yesu ( isolate me from you) x2

je ni nini kinitenge nawe (what is it to isolate me from you)
fahari za dunia(worldly riches)
zinitoe kwako (to take me away from you)
je ni mali(is it properties)
zitanitenga nawe (will isolate me fro you)
je ni cheo ,heshima (is it the rank/position or honor)
vitanitoa kwako (will isolate me fro you)
magari ,ndege (is it cars or planes)
vitanitenga nawe (will isolate me fro you)

hakuna cha kunitenga nawe ,(nothing to isolate me from you)
tenga nawe eh yesu ( isolate me from you) x2

CHORUS:
Nishike mkono ,mungu wangu (hold my hand my God)
husiniache eh,bwana wangu (don't leave me ,my lord) x4

Nishike mkono ,mungu wangu (hold my hand my God)
husiniache eh,bwana wangu (don't leave me ,my lord) x4

hakuna cha kunitenga nawe ,(nothing to isolate me from you)
tenga nawe eh yesu ( isolate me from you) x6

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site

TENDA WEMA Ft Ringtone BY: CHRISTINA SHUSHO

CHORUS:
Tenda wema nenda zako weh!
Usisahau Mungu anaona,
Siku ya kukumbukwa ipo,
Yeyeye atakulipa
Tewnda wema nenda zako weh!
Usisahau Mungu anaona,
Siku ya kukumbukwa itafika

Verse 1: Ringtone
Mayatima umesomesha sana,
Wenye shida umesaidia wote,
Wenye njaa umewapa chakula,
Nguo zako umepeana zote,
Hakuna anayetambua, haya ambayo umetenda kwote,
Sasa naona inakupa worry, nakuomba weh usijali,
Aiyekuita anaona yote,
Utabarikiwa na siku zote.

CHORUS:
Tenda wema nenda zako weh!
Usisahau Mungu anaona,
Siku ya kukumbukwa ipo,
Yeyeye atakulipa
Tewnda wema nenda zako weh!
Usisahau Mungu anaona,
Siku ya kukumbukwa itafika

VERSE 2:- Christina Shusho
Aliwaponya, wagonjwa wao- Ni Yesu huyo.
Akafufu wafu wao- Ni Yesu huyo.
Mwisho wakamwita, Pepo huyo
Na tena wakamwita, Belzebuli
Wewe si wa kwanza, na hutakuwa wa mwisho,
Yesu katukanwa, sembuse mwanadamu..
Tenda wema nenda zako weh, oooh,
Usingoje shukrani weh x2

CHORUS:
Tenda wema nenda zako weh!
Usisahau Mungu anaona,
Siku ya kukumbukwa ipo,
Yeyeye atakulipa
Tewnda wema nenda zako weh!
Usisahau Mungu anaona,
Siku ya kukumbukwa itafika

Utawasomesha wajue Kizungu wakutusi,
Utawalisha, washibe wakupige,

Wewe tenda mema,
Wewe tenda mema tu x2

CHORUS:
Tenda wema nenda zako weh!
Usisahau Mungu anaona,
Siku ya kukumbukwa ipo,
Yeyeye atakulipa
Tewnda wema nenda zako weh!
Usisahau Mungu anaona,
Siku ya kukumbukwa itafika

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site

YESU ANAWEZA Ft Papa Dennis BY: CHRISTINA SHUSHO

VERSE 1:
Mungu aliupenda ulimwengu,
akamtoa yesu ,tusiangamie,
nashangaa, mate walimtemea,
nashangaa,mijereti alipigwa bwana,
nashangaa ,taji ya miba alivishwa yesu
oye x4 ah oye
akasurubishwa ,akafa akazikwa,
siku ya tatu akafufuka yesu bwana wangu,
kwa kifo chake (kifo chake)
tumeokolewa (tumeokolewa),
husiteseke ,rudisha yote msalabani kwake,

CHORUS:
Bwana Yesu anaweza ,
peleka shida msalabani kwake,
Bwana Yesu anatenda,
peleka shida msalabani kwake,

VERSE 2:
Bwana Yesu ,anaweza,
peleka shida zako kwake,
Bwana Yesu, anatenda,
peleka shida zako kwake,
jina lake mwenye nguvu,tena msaada,
oh peleka shida zako kwake,
yeye kimbilio ,amejawa na huruma,
ah oh peleka shida zako kwake,

CHORUS:
[Bwana Yesu anaweza ,
peleka shida msalabani kwake,
Bwana Yesu anatenda,
peleka shida msalabani kwake,]x3

VERSE 3:
ukikosa pesa ,ukikosa watoto ,
umuite bwana,ataitikia,
kwenye biashara zenu ,
mkimuita bwana,mkimuita yahweh,
ataitikia,halleluyah

CHORUS :
[Bwana Yesu anaweza ,
peleka shida msalabani kwake,
Bwana Yesu anatenda,
peleka shida msalabani kwake,]x3

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site

WARANDARANDA BY: CHRISTINA SHUSHO

VERSE 1:
Yalinenwa na manabii kale,
Kwamba atazaliwa,mwanamume,
na ufalme utakuwa begani mwake
Ataitwa Emmanuel japo miaka ilipita,
Lakini neno lilitimia,
(salamu maria, umejaa neema,
bwana yu nawe,
umebarikiwa kuliko wanawake wote)x2
wapi yusufu, wa ukoo wa daudi,
unabii umetimia kwako,

REFRAIN:
Warandaranda mbao tu,(yusufu we)
usiku mchana,we mbao,(wewe yusufu)
Warandaranda mbao tu,(kumekucha yusufu)
yusufu fundi wa mbao,x2

VERSE 2:
(nyumba zimejaa ,za wageni zimejaa,
yusufu zimejaa,Bethlehem kumejaa)x2
ni wakati wa *sensa ,(kumejaa)
wageni ni wengi,(kumejaa)x2)x2

REFRAIN:
Warandaranda mbao tu,(yusufu we)
usiku mchana,we mbao,(wewe yusufu)
Warandaranda mbao tu,(kumekucha yusufu)
yusufu fundi wa mbao,x2

VERSE 3:
Mioyo imejaa mambo,
Masumbufu ya maisha yakutesa,
Mpaka umesahau ahadi za mungu,
Ata usiku uwe mrefu kutakucha,
Fungua moyo azaliwe kwako,
Akizaliwa atafanya mambo mapya,
Neno lake halirudi bure,
Akiahidi lazima atimize,
Wacha kuranda mbao ,we kuranda mbao
Wewe,kuranda mbao,

REFRAIN:
Warandaranda mbao tu,(yusufu we)
usiku mchana,we mbao,(wewe yusufu)
Warandaranda mbao tu,(kumekucha yusufu)
yusufu fundi wa mbao,x2

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site

SONGA MBELE By Shusho BY: CHRISTINA SHUSHO

Hey mama go forward
Let's go to heaven
To the Father

Go forward(never retreat), Go forward(never retreat)
Mother go forward(never retreat)
My mother go forward(never retreat)
Father go forward(never retreat)
Brother go forward(never retreat)
My brother go forward(never retreat)
Hey, press on, let's go
go forward(never retreat)
My brother go forward(never retreat)
brother go forward(never retreat)
sister go forward(never retreat)
My go forward(never retreat)
Shadrack, Meshack and abednego
Experienced the Lord
They trusted in him
He manifested Himself to them
Paul and silas in jail
Experienced the Lord
Why are you discouraged?
I tell you focus unto Jesus and go forward
go forward(never retreat)
My brother go forward(never retreat)
Never retreat hey go forward
Don't give up hey never retreat hey
go forward(never retreat)
Jesus is for you(never retreat) eh
go forward(never retreat)
Neither take alternatives
Nor look for shortcuts
Just focus unto Jesus
To be your lone helper
He was persecuted
For you to be saved
He accepted pains
To set you free
Now press on
go forward(never retreat)
Just go forward(never retreat)
My brother go forward(never retreat)
Father go forward(never retreat)
You mother go forward(never retreat) hey
go forward(never retreat)
Really He took up our infirmities
And carried our sorrows
By his stripes we are healed
If anyone would come after him
He must deny himself
And take up his cross and follow Jesus
The cross (take up the cross)
The cross (follow jesus)
The cross (take up the cross)
The cross (take up the cross)
The cross (follow jesus)
The cross (take up the cross)
Never retreat, never retreat
Hey hey hey hey
Hey hey hey
Never retreat never retreat
Never retreat never retreat

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site

NANGOJA BY: CHRISTINA SHUSHO

Nangoja Nangoja Nangoja Nangoja bado nangoja nangoja bwana nangoja nangoja
Umesema niombee utanipa pia nitafutee nitapata na tena nibiishe utafungua nikiita Mungu utaitika utaonesha Makuu nisiyojua hivyo mimi nangoja nangoja nangoja ahadi yangu nangoja
Nangoja Nangoja Nangoja Nangoja bado nangoja nangoja bwana nangoja nangojaa

Wewe ni Mungu usiku ni Mungu (Ni mungu)
tena ni Mungu mchana ni Mungu (Ni Mungu)
wewe ni Mungu mlimanii ni Mungu (Ni Mungu)
tena ni Mungu bondeni ni Mungu (Ni Mungu)
Mungu wakati wa shidaa ni Mungu (Ni Mungu)
tena Mungu wakati wa rahaa ni Mungu(Ni Mungu)
Mungu wewe ni Mungu
Huwahi wala huchelewii
Unajibu kwa wakatii
Hata ukichelewaa, najua bado ni Mungu
Na utabaki kuwa Munguu,
Hata ukinyamaza
Hata usipojibu, Najua wewe ni Mungu
Huwahi wala huchelewi,
Unajibu kwa wakati,
Wewee Mungu ni Munguu, Utabaki kuwa Munguu
Haubadili kazi yakoo, maana wewe ni Munguu
Ni Mungu wee ni Munguu we ni Muungu
Najua bado ni Muungu we ni Munguu,
Utabaki kuwa Mungu ni Muungu
Ee Mungu wee ni Munguu, ni Mungu
Nangoja (Nangojaa) nangoja(bwana nangojaa)nagojaa(muujiza wangu)nangojaa,
(nangojaa)bado nangojaa (bado nangoja)nangojaa(nangojaa) bwana nangoja(bwana nangoja)nangoja(nangoja)naangoja(nangoja)nangoja(bwanaa nangojaa)nangoja(muujiza wangu)nangojaa(nangojaa)bwana nangojaa(bado nangojaa)nangojaa(nangoja)bwana nangojaa(bwana nangoja)nangojaa

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site

ALL I NEED BY: CHRISTINA SHUSHO

All i need is Jesus in me, All i need , His power within me
All i need is Jesus in me, All i need , His presence with me
All i need is Jesus in me, All i need , His love with me
All i need is Jesus in me, All i need , His favour with me

Control my soul, control my mind , spirit, control my life
Control my all, control my all,
Control my works, control my *wills, my weakness, control my faith
Control my all, control my all
Control my time, my *fill, control my desire, control my joy
Control my all, Control my all

Tawala bwana , tawala vyote, tawala roho, tawala mwili
Tawala wewe, tawala vyote.
Tawala mwili, tawala nafsi, tawala roho , tawala vyote,
Nitawale yesu, nitawale wewe

Control my soul, control my mind , spirit, control my life
Control my all, control my all,
Control my all, all.

All i need is Jesus in me, All i need , Your power within me
All i need is Jesus in me, All i need , Your presence with me
All i need is Jesus in me, All i need , Your love with me
All i need is Jesus in me, All i need , Your favour with me

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site

NAPENDA NEEMA YAKO BY: CHRISTINA SHUSHO

Napenda Neema Yako.
Natambua Neema Yako.
Naheshimu Neema Yako.

Nakuhitaji, wanihitaji.
Neema Yako
Napenda Neema Yako.
Naheshimu Neema Yako...
Wewe...
Napenda Neema Yako.
Natambua Neema Yako.
Naheshimu Neema Yako.
Nakuhitaji, Wanihitaji.
Neema Yako.
Napenda Neema Yako.
Naheshimu Neema Yako.
Nakuhitaji, Wanihitaji.

I need You, You need me.
Huo ni ukweli wa mambo.

Napenda Neema Yako.
Natambua Neema Yako.
Naheshimu Neema Yako.
Nakuhitaji, Wanihitaji.
Neema Yako.
Napenda Neema Yako.
Naheshimu Neema Yako.
Nakuhitaji, Wanihitaji.

Kitabu hakihitaji msomaji.
Mwalimu hahitaji mwanafunzi.
Biashara haihitaji mteja.
(We... Oooh)
Producer hahitaji mwimbaji.
Mchungaji hahitaji mshirika.
Raisi hahitaji mwananchi.
Sote twaitajiana.

Napenda Neema Yako.
Natambua Neema Yako.
Naheshimu Neema Yako.
Nakuhitaji, wanihitaji.
Neema Yako.
Napenda Neema Yako.
Naheshimu Neema Yako.
Nakuhitaji, Wanihitaji.

Ewe mtumishi we...
Kiongozi wa Taifa we.
Nina neno kidogo.
Naomba niseme kidogo.
Mungu mgawa wa Vipawa.
Anayetoa Neema.
Amenipa fungu langu.
Wengine kawapa mengine.
Ningepewa vyote mie.
Nifanye kila kitu mwenyewe.
Hakika nisingeweza.
Popote nisingeenda.
Kawapa wengine kuchunga.
Wengine kufundisha.
Wengine Unabii.
Na wengine kufasili lugha.
Wengine kawapa Utume.
Wengine Uinjilisti.
Na yote lengo lake moja.
Ujengwe Mwili wa Kristo.
Hajasema aliye zaidi.
Wala aliye dhaifu.
Kila mtu na neema yake.
Eeeh
Lengo tujenge mwili wa Kristo.

Napenda Neema Yako.
Natambua Neema Yako.
Naheshimu Neema Yako.
Nakuhitaji, Wanihitaji.
Neema Yako.
Napenda Neema Yako.
Naheshimu Neema Yako.
Nakuhitaji, Wanihitaji.

(Eeeh, Wooh Wooh)
Neema Hutambuana.
Neema Huheshimiana.
Neema Huinuana.
Neema Huombeana.
Neema Zikikutana.
Neema Husalimiana.
Neema Hazishindani.
Neema Huzaa furaha.
Neema Hufunika udhaifu.
Neema Hufungua milango.
Neema ni Mkono wa Mungu.
Neema Inanipa kusonga.

Napenda Neema Yako.
Nakubali Neema Yako.
Naheshimu Neema Yako.

Napenda Neema Yako.
Natambua Neema Yako.
Naheshimu Neema Yako.
Nakuhitaji, Wanihitaji.
Neema Yako.
Napenda Neema yako.
Naheshimu Neema yako.
Nakuhitaji, Wanihitaji.

Napenda Neema Yako.
Natambua Neema Yako.
Naheshimu Neema Yako.
Nakuhitaji, Wanihitaji.
Neema Yako.
Napenda Neema Yako.
Naheshimu Neema Yako.
Nakuhitaji, Wanihitaji.

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site

AKUTENDEE NINI BY: CHRISTINA SHUSHO

Aleluya
Yesu ni Bwana
Nawala hana mpinzani, atatenda mambo

Wataka akutende nini, akutende nini we
Neno moja nalitaka kwa Bwana, nalo ni hili
Nikae nyumbani mwake siku zote za maisha yangu
Jala Lake limejaa hakuna aliyepunguza hata robo akutende nini we
wengi wataka kuwa rahisi wa nchi, wengi wataka kuwa wa bunge nawe akutende nini we
mwingine ombi lake apate shamba huyu mume na huyu mke, wataka akutende nini we
Mama huyu ombi lake apate mtoto, wengi wapate elimu wataka akutende nini we
mwambie(mwambie)

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site

ONGOZA HATUA ZANGU BY: CHRISTINA SHUSHO

Eeeh oooh wowowooo
Hatua za mwenye haki za ongozwa naye bwana na bwana hufurahia njia zake wakati wote ×2
Nakukabidhi bwana njia zangu zote pia nakutumaini najua bwana utafanya hata nijapojikwaa sitaanguka chini bwana utanishika na kunitegemeza ×2

Eehh haleluya wewe bwana wewe bwana bwana nimegusa mkono wako wafanya siri kwa ndani yangu haleluya haleluya

Mwangazie mtumishi wako uso wako mana ninayatamani maagizo yako elekeza hatua zangu kwa neno lako uovu usije ukanimiliki ×2
(Ee bwana naomba) ongoza hatua zangu ee bwana ee bwana ongoza mwendo wangu ee bwana ee bwana
(Ee bwana naomba) ongoza hatua zangu (niongoze) ee bwana ee bwana (niongoze) ongoza mwendo wangu(niimarishe) ee bwana ee bwana (
Ee bwana)...

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site

BWANA UMENICHUNGUZA BY: CHRISTINA SHUSHO

Eeh bwaana
umenichunguza na kunijua
wewe wajua kuketi kwangu

na kuondoka kwaanguu umelifahamu wazo langu
tokea mbaali umepepeta kwenda kwangu
na kulala kwaangu umeelewa na njia zanguu
zoooteee
umepepeta kwenda kwangu
na kulala kwaanguu
umeelewa na njia zangu zootee

Eeh bwaana
umenichunguza na kunijua
wewe wajua kuketi kwangu
na kuondoka kwaanguu umelifahamu wazo langu
tokea mbaali umepepeta kwenda kwangu
na kulala kwaangu umeelewa na njia zanguu
zoooteee
umepepeta kwenda kwangu
na kulala kwaanguu
umeelewa na njia zangu zootee

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site

NING'ARE BY: CHRISTINA SHUSHO

umenifanya ning'are
umenifanya ning'are
umenifanya ning'are Yesu

umenifanya ning'are
umenifanya ning'are
umenifanya ning'are Yesu
wewe waitwa nuru eti nuru ya watu
ukiingia kwangu ninang'ara
ndani ya hiyo nuru
eti kuna uzima
ukiingia kwangu ninauzima
uso wake Yesu aliyesura yake mungu
umeingia kwangu ninang'ara

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site

TUMSIFU BWANA BY: CHRISTINA SHUSHO

Simama, simama tumsifu Bwana
Simama, simama tumsifu Bwana
Eeh baba, Simama, simama tumsifu Bwana

Eeh mama, Simama, simama tumsifu Bwana
Kijana Simama Simama, simama tumsifu Bwana
Watu wote Simama, simama tumsifu Bwana

Simama, simama tumsifu Bwana

Simama, simama tumsifu Bwana
ndugu yangu
uliyeketi
Simama, simama tumsifu Bwana
Simama, simama tumsifu Bwana

nasema nami nikate tamaa,
naona kila kitu huwezi
kila jambo tena unalofikiri

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site

KWAKE YESU BY: CHRISTINA SHUSHO

I do not have a hope
Than Lord's blood
My goodness is not enough

To wash away my sins
I do not have a hope
Than Lord's blood
My goodness is not enough
To wash away my sins
On Christ I stand
For He is the solid rock
On Christ I stand
For He is the solid rock
Though my way being long
He gives me salvation
In every high and stormy gale
My anchor holds within the veil
Though my way being long
He gives me salvation
In every high and stormy gale
My anchor holds within the veil
On Christ I stand
For He is the solid rock
On Christ I stand
For He is the solid rock
His blood
And sacrifice
I always rely
When every earth prop gives way
My Savior will suffice
His blood
And sacrifice
I always rely
When every earth prop gives way
My Savior will suffice
On Christ I stand
For He is the solid rock
On Christ I stand
For He is the solid rock
When I'm called on judgement
I feel peace spiritually
When clothed in His righteousness
I fear not to stand before the throne
When I'm called on judgement
I feel peace spiritually
When clothed in His righteousness
I fear not to stand before the throne
On Christ I stand
For He is the solid rock
On Christ I stand
For He is the solid rock
On Christ I stand
For He is the solid rock
On Christ I stand
For He is the solid rock
On Christ I stand
For He is the solid rock
On Christ I stand
For He is the solid rock

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site

WANIFANYA NING'ARE BY: CHRISTINA SHUSHO

Aah damu ya yesu imenifanya ning'are
(CHORUS)
Umenifanya ning'are ×2 yesuu
Umenifanya ning'are ×2 yesuu
Wewe waitwa nuru, eti nuru ya watu
Ukiingia kwangu mi nang'araa
Ndani ya hiyo nuru... eti kuna uzima
Ukiingia kwangu nina uzimaa...
Uso wake yesu, aliyesura yake mungu
Umeingia kwangu, mi nang'araa
Nuru wa injili, utukufu wake christo
Umeingia kwangu mi nang'araa
(CHORUS)
Inuka uangazee, nuru yako imekuja
Utukufu wa bwana umekuzukia wee
Mataifa watakujia, wafalme watakuja
Utukufu wa bwana umekuzukia wee ×2
(CHORUS)

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site

WAKUABUDIWA BY: CHRISTINA SHUSHO

CHORUS:
[Wakuabudiwa, wakuheshimiwa, ni wewe Mungu,
wakupewa sifa na utukufu, ni wewe Mungu,
Mungu mwenye nguvu, wastahili heshima zote,
hakuna mwingine wa kulinganishwa na wewe Mungu,] x2

Umesema wewe, nilalapo niko nilipo ndiwe Mungu,
unafanya mambo yaliyo juu ya fahamu zetu,
ukisema ndio nani awezaye pinga, hakuna,
wewe unatupa kushinda na zaidi ya kushinda,
unatupambisha utukufu hadi utukufu,
umesema wewe nilalako, ndiko niliko Mungu,
unafanya mambo yaliyo juu ya fahamu zetu,
ukisema ndio nani awezaye pinga, hakuna,
wewe unatupa kushinda na zaidi ya kushinda,
unatupandisha utukufu hadi utukufu.

CHORUS:
[Wakuabudiwa, wakuheshimiwa, ni wewe Mungu,
wakupewa sifa na utukufu, ni wewe Mungu,
Mungu mwenye nguvu, wastahili heshima zote,
hakuna mwingine, wa kulinganishwa na wewe Mungu,] x2

[uzima wetu, uko mikononi mwako Mungu,
unawapa nguvu wanyonge na wadhaifu Mungu,
unawanyeshea wema nao waovu Mungu,
mwanadamu nani, wa kulinganishwa nawe Mungu,
nani mwenye nguvu ya kusimama mbele yako Mungu.] x2

CHORUS:
[Wakuabudiwa, wakuheshimiwa, ni wewe Mungu,
wakupewa sifa na utukufu, ni wewe Mungu,
Mungu mwenye nguvu, wastahili heshima zote,
hakuna mwingine, wa kulinganishwa na wewe Mungu,] x2

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site

USHIRIKA NA ROHO BY: CHRISTINA SHUSHO

[Mimi nataka ushirika na wewe eeeh ewe, roho
mimi nataka ushirika na wewe, roho] x4

[Mimi nataka ushirika na wewe eeeh ewe, roho
mimi nataka ushirika na wewe, roho] x2

nimekubali habari hizi,
yakuwa wewe ni Mungu,
roho, roho nataka ushirika na wewe,
ulikuwepo tokea mwanzo, ulishiriki kuniumba,
roho, roho nataka ushirika na wewe,
nakuhitaji maishani, uhifadhi moyo wangu,
roho, roho nataka ushirika na wewe.

[Mimi nataka ushirika na wewe eeeh ewe, roho
mimi nataka ushirika na wewe, roho] x4

wayachukua ,maombi yetu,
watuombea kwa kuugua,
roho, roho nataka ushirika nawe,
ukiwa nasi twatiwa nguvu,
twatenda kazi kwa ujasiri,
roho, roho nataka ushirika nawe,
uyatawale maisha yangu,
sitaogopa ukiwa nami,
roho, roho nataka ushirika nawe,

[Mimi nataka ushirika na wewe eeeh ewe, roho
mimi nataka ushirika na wewe, roho] x4

wewe Mungu uliye hai,
tena roho wa kweli,
wewe kiongozi,
nataka ushirika na wewe,
wewe mafuta ya shangwe,
tena harabu ni yetu,
roho wa milele,
nataka ushirika na wewe,
wewe roho msaidizi,
tena mshauri wetu,
wewe kidole cha Mungu,
nataka ushirika na wewe.

[Mimi nataka ushirika na wewe eeeh ewe, roho
mimi nataka ushirika na wewe, roho] x4

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site

UNIKUMBUKE BY: CHRISTINA SHUSHO

(Unikumbuke, Baba,
unapowazuru wengine naomba unikumbuke,
usinipite, Yesu,
unapowazuru wengine naomba unikumbuke.) x2

unikumbuke, (unikumbuke),
unikumbuke, (unikumbuke),
Yesu naomba unikumbuke,
Baba unikumbuke, (unikumbuke)
unikumbuke, unikumbuke,
Yesu naomba unikumbuke,
maisha yangu, unikumbuke,
kazi yangu, unikumbuke,
Yesu naomba unikumbuke,
kuketi kwangu, unikumbuke
na kuamka kwangu, unikumbuke,
baba unikumbuke,
Yesu naomba unikumbuke),
Yesu usinipite, usinipite
usinipite, usinipite,
Baba unikumbuke,
unikumbuke, unikumbuke x2
Baba unikumbuke, Yesu naomba unikumbuke

Mnyonge mimi, dhaifu mimi
unikumbuke,
na mama huyu anataka kunyonyesha,
ona huyu asiye na kazi, umkumbuke)
mayatima na wajane (uwakumbuke),
kijana huyu anataka mwenzi, umkumbuke,
na mwingine huyu anataka elime, umkumbuke
umasikini sasa ndio wimbo, utukumbuke,
nchi nzima vilio vimejaa , utukumbuke

utukumbuke, (utukumbuke),
utukumbuke, (utukumbuke),
Baba utukumbuke,
Yesu twaomba utukumbuke,
shida zetu, utukumbuke,
mateso yetu, utukumbuke,
Baba utukumbuke,
Yesu twaomba utukumbuke,
usitupite,usitupite,
usitupite,usitupite,
Baba utukumbuke,
Yesu twaomba utukumbuke,
watu wako, utukumbuke,
utukumbuke, utukumbuke,
Baba utukumbuke,
Yesu twaomba utukumbuke,
Baba utukumbuke, utukumbuke,
utukumbuke, utukumbuke,
Baba utukumbuke,
Yesu twaomba utukumbuke,
machozi yetu utukumbuke,
uyakumbuke, utukumbuke
Baba utukumbuke,
Yesu twaomba utukumbuke.

serikali yetu na viongozi, uwakumbuke
waongoze nchi kwa hekima yako, uwakumbuke,
uchumi wa nchi yetu baba, utukumbuke,
bunge pia na mahakama, uikumbuke,
sikia kilio cha watanzania, utukumbuke,
hatibu ya matatizo yatoke kwako, utukumbuke,
tazama majanga yanayotukumbuka, utukumbuke,

utukumbuke, (utukumbuke),
utukumbuke, (utukumbuke),
Baba utukumbuke,
Yesu twaomba utukumbuke,
watoto wetu, uwakumbuke,
ndugu zetu, uwakumbuke,
Baba utukumbuke
Yesu twaomba utukumbuke,
mashamba yetu, uyakumbuke,
mifugo yetu, uikumbuke,
Baba, utukumbuke,
Yesu twaomba utukumbuke,
Yesu usitupite, usitupite, x2
Baba usitupite,
Yesu twaomba, utukumbuke,
wafungwa nao, uwakumbuke,
uwakumbuke, uwakumbuke,
Baba utukumbuke,
Yesu twaomba utukumbuke.

unikumbuke, unikumbuke, x2
Baba unikumbuke,
Yesu naomba unikumbuke,
nilalalpo, unikumbuke,

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site

THAMANI YA WOKOVU WANGU BY: CHRISTINA SHUSHO

Ngoja nikusimulie, habari ya kijana mmoja,
Kijana mtanashati, mpole kipenzi cha wengi,
Anazo sifa nyingi lakini kuu kwake ni upendo,
Siku moja alikutana na mwanamke msamaria kisimani,
Kijana kamwomba maji, mwanamke naye kamuuliza,
Tangu lini wayahudi na wasamaria tukashikamana,
Kijana akamwambia ungejua mimi ni maji yaliyo hai,
Ungekuja kwangu unywe maji, ili usiwe na kiu tena.
Mimi aliniona nilikokuwa nimechoka, nimechakaa,
Kijana kanipenda, kanichukua kanitengenezaaa.

CHORUS:
Thamani ya Wokovu wangu
anayejua ni Mwokozi wangu,
Gharama ya maisha yangu
anayejua ni Muumba,
Nikisema nimeokokaa mbona
hamnielewiii,
Nikisema nimependwa mie, mbona
mwanishangaaa.

Maisha ni hazina, iliyo mikononi mwa Mungu,
Hakuna ajuaye, salio la siku zake,
Ukiona ni mzima leo, hujui kesho itakuwaje?
Ndiyo maana nimeona nikukumbushe habari za Yesu,
Yeye akikupenda, wala hatoitoi kasoro,
Ukimupokea leo anabadili historia yako,
Atakuchukua hivyo ulivyo akufanye kiumbe kipya,
Hata kama unalia leo jua kesho utacheka,
Huyu Mwanaume Yesu ni wa ajabu wala hana mfano wake,
Upendo wake ulivyo mkuu kwetu akajiona heri ajitoe,
Aliacha enzi na utukufu mbinguni,
Akakubali mateso hata kifo cha aibu,
Akavuliwa nguo, ili mimi nipone,
Akatemewa mate ili mimi niwe huru.

Chorus
Thamani ya Wokovu wangu
anayejua ni Mwokozi wangu,
Gharama ya maisha yangu
anayejua ni Muumba,
Nikisema nimeokokaa mbona
hamnielewiii,
Nikisema nimependwa mie,
mbona mwanishangaaa.

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site

TENDA WEMA BY: CHRISTINA SHUSHO

CHORUS
tenda wema nenda zako we,
(husisahau mungu anaona),
siku ya kukumbukwa ipo,
yeyeye atakulipa
tenda wema nenda zako we,
(husisahau mungu anaona),
siku ya kukumbukwa itafika.

VERSE 1
mayatima umesomesha sana ,
wenye shida umesaidia wote,
wenye njaa umewapa chakula,
nguo zako umepeana zote,
hakuna anayetambua,
haya ambayo umetenda kwote,
sasa naona inakupa worry,
nakuomba we husijali,
aliyekuita anaona yote ,
utabarikiwa na siku zote.

chorus
tenda wema nenda zako we,
(husisahau mungu anaona),
siku ya kukumbukwa ipo,
yeyeye atakulipa
tenda wema nenda zako we,
(husisahau mungu anaona),
siku ya kukumbukwa itafika.

verse 2
aliwaponya ,wagonjwa wao,
yesu huyo,akafufua wafu wao,
yesu huyo,mwisho wakamuita,pepo huyo
na tena wakamuita desivuri
wewe si wakwanza,
na hutakuwa wa mwisho,
yesu katukanwa,sembuse mwanadamu,
tenda wema nenda zako oh
husingoje shukrani eh x2
(chorus)
utawasomesha wajue kizungu wakutusi,
utawalisha ,washibe wakupige,
wewe tenda mema ,
wewe tenda mema tu,x2
(chorus)

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site

NITAYAINUA MACHO BY: CHRISTINA SHUSHO

[Nitayainua macho yangu juu, nitazame milima,
msaada wangu utatoka wapi,
msaada wangu u katika Bwana,
majeshi yajapo, jipanga kupigana nami,
moyo wangu hautaogopoa, maana najua husinzii,
wala hutalala, Bwana wangu utanipigania.] x2

[eh Bwana, nimengojea wokovu wako
na maagizo yako umeyatenda,
nafsi yangu nimezishika shuhuda zako
nami nipe kupenda mno,
imeya, shika mahusia yako,
maana njia zangu zi mbele yako,] x2

[Bwana kilio changu na kikukaribie,
unifahamishe sawa na neno lako,
dua yangu na ifike mbele zako,
uniponye sawa na ahadi yako,
midomo yangu itoe sifa kwako,
ulimi wangu uimbe ahadi yako,
nafsi yangu na iishi ipate kukusifu,
hukumu zako zinisaidie.] x2

[eh Bwana, nimengojea wokovu wako
na maagizo yako umeyatenda,
nafsi yangu nimezishika shuhuda zako,
nami nipe kupenda mno,
imeya, shika mahusia yako,
maana njia zangu zi mbele yako,] x2

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site

NIPE MACHO BY: CHRISTINA SHUSHO

(Nipe macho nione,
macho eh eh
nipe macho nione sawasawa.)x4

nisaidie macho ya ndani,
nione jinsi uonavyo wewe,
nisaidie macho ya ndani,
nione mitego ya mwovu,
nimekukimbilia wewe Bwana,
ili nikae salama,
nipe macho nione, sawasawa,
mara nyingi watu watazama nje,
lakini wewe waona ndani,
kwa nje mtu huonekana mwema,
kumbe ndani ni hatari,
mwaka huu Bwana nataka nione
ili nikae salama,
nipe macho nione, sawasawa.

(Nipe macho nione,
macho eh eh,
nipe macho nione sawasawa.)x4

nipe macho nione,
kama alivyoona Stephano,
katika mazingira magumu,
akamwona Yesu amesimama mkono wa kiume wa Bwana,

macho yangu yanaona nimevaa,
kumbe waniona mtupu,
mara najiona ni tajiri,
kumbe waniona ni masikini,
mara nyingine macho yanipa haki,
kumbe waniona mkosaji,
nipe macho nione, sawasawa,
macho yangu yanaonaa nina nguvu,
kumbe waniona mnyonge,
tena najina na busara,
kumbe waniona mjinga,
macho yangu yaona ya usoni,
wewe waona mwisho kabla ya mwanzo.

(Nipe macho nione,
macho eh eh,
nipe macho nione sawasawa.)x4

[nipe macho ,
oh oh oh ohhhhh]x2

(Nipe macho nione,
macho eh eh,
nipe macho nione sawasawa.)x4

Download our Gospel lyrics Android App Here

Download Christina shusho lyrics Android App Here

Visit Our Information Technology Site