ads

Wednesday 18 May 2016

AFADHALI YESU BY SIZE8 REBORN















Nimepanda,
nimeshuka, milima mabonde na mito

Nimevuka
nimeosa, nimesota, nimekosa

Mpaka
x2 nimekopa, nimeamini, binadamu ,

Ole
wangu roho wakanivunja, niliambiwa

nikakana
,mimi mwenyewe nimekuja ona,

tunachodhamini,
hakitufanyi tufurahii ..ii,


(Refrain)

Ooh
najiuliza furaha yangu ni nani ii,

(Afadhali
yesu aah ,afadhali ye, aliye na yesu)x4

Nimesakasakasaka
mali sana,

Nikipatapata
bado nataka more ,

Nimesakasakasaka
pesa sana,

Nikipatapata
bado nataka more

Makosa
yangu, na dhambi zangu

matendo
yangu yale ninajuta ,

umechukua
,umeondoa, ulisema hutayakumbuka

Tunachodhamini
hakitufanyi tufurahi

(Refrain)








No comments:

Post a Comment