ads

Wednesday 18 May 2016

NDIO YAKO BY GLORIA MULIRO














www.gospelyrix.com



Ingelikuwa Mungu, anauliza
mwanadamu u

Jinsi ya kumtendea a,
mwanadamu,

Basi mimi nisingekuwa ,
jinsi nilivyo,

Ata tena nisingekuwa mahali nilipo,

Ungeambiwa sifai, wangekukanya vikali

Ungekumbushwa dhambi zangu za kale
baba yo yo

Unabariki unayependa a,

Unabariki unavyopenda a ,

Mimi nahitaji eeh

[Refrain]

Nahitaji ndio oh yako yesu tu

Nahitaji ndio oh yako yesu tu

Ninataka ndio oh yako yesu tu (Yako yesu),

Ndio yako ndio itanisimamisha ah

Ndio yako itanifungulia milango oh


Hakuna sikio lenye funiko jamani ,

wala sijaona jicho lenye pazia ah ,

adui zako wangelikuwa na uwezo oh ,

wangefumba macho wangefunika maskio oh

Wasikuone ukiwa juu ,wasisikie umebarikiwa eh,

meza utaandaliwa mbele yao oh,

Utakula utakunywa mbele yao oh,

Nasema ndio ,ndio ya bwana ah

[refrain]


[bridge]

Yesu husiposema ndio, mali yangu,

akili zangu u hazitaweza Bwana sema , sema

ndio, yatosha ee


Nahitaji ndio oh yako yesu tu

Nahitaji ndio oh yako yesu tu
Ninataka ndio oh yako yesu tu (Yako yesu),

Ndio yako ndio itanisimamisha ah

Ndio yako itanifungulia milango oh

Ndio yako ndio itanisimamisha ah

Ndio yako itanifungulia milango oh
oh ndio yako oh X4






No comments:

Post a Comment