ads

Wednesday 18 May 2016

ROHO WAKO BY JANET OTIENO















Verse1

Aaah mmmh

Barabara za dhahabu makao ya ajabu

Nawacha ya ulimwengu ili nione mbingu,

Chuki nawacha,(nawacha ),na masengenyo

Wivu nawacha ,(nawacha),yote maovu ,

Na sasa kwako nasongea,

mbali na maovu niweke,

Kwako nasongea, ushindi nipate ,

Nisaidie eeh yesu ,nisaidie baba,

unisaidie eeh Yahweh,

Nisaidie ,naomba


(Refrain)

(Uniongoze, kwa roho wako,

unishike mkono)x2


verse2

Mama aliyetokwa na damu miaka mingi ukamponya,

(Aah),gerezani ulikuwa nao, Paulo na sila ,

kamtoa danieli mdomoni mwa samba( aah),

ata nami kwa imani utaniokoa najua ,

nisaidie baba nisaidie
yesu,

nisaidie Yahweh, unisaidie


(Refrain)

Mkono ,nishike, nitembee ,na wewe,

( me nawe milele… lele)x2

(Refrain)x4

Mkono ,nishike, nitembee ,na wewe,

( me nawe milele lele)x2






No comments:

Post a Comment