BWANA YESU BY EUNICE NJERI
Bwana Yesu! Bwana Yesu!
Kimbilio langu, ni wewe Baba,
Tumaini langu, liko kwako Yaweh,
Mimi sina uwezo, sina Bwana mwingine ila wewe.x2
Refrain:
Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu,
Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu,
Haleluya, Haleluya Baba,
Ulinifia mwokozi wangu, Dhambi zangu zote ukaziosha,
Sijapata mwingine, dunia yote kama wewe yahweh. x2
Refrain:
Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu,
Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu,
Nakuinua, nakuinua,
Milele milele,nitakuimbia,
Kwa yale umenitendea Baba nakusifu,
Milele Milele, milele daima Bwana wangu,
Milele na milele, milele daima Bwana wangu we.
Refrain 2: Hakuna kama wewe,
Hakuna hakuna nasema,
Mbinguni na duniani tuimbe,
Aliye filia dhambi zangu nasema,
Mponyaji wangu ndiye Jehova rafa,
Hakuna hakuna naimba,
Hakuna hakuna nasema,
Ulimwengu wote tuimbe,
Dunia yote tuseme tusemee,
Nasema hakuna hakuna hakuna,
Oh hakuna hakuna nasema,
Oh hakuna hakuna naimba,
Hakuna hakuna tuimbe,
hakuna hakuna nasema,
Hakuna hakuna naimba.