JEHOVAH BY EUNICE NJERI
o naimba, u mwaminifu,
Nami leo nasifu, nakuabudu.
Refrain:
Wewe ni Mungu haulinganishwi,
Na yeyote,
Wewe ni Bwana haufananishwi,
Na yeyote. (Repeat)
Ee Yesu! Ee Yesu! Ee Yesu! Ee Yesu!
Mwana wa Mungu, umeinuliwa,
Zaidi wa wote wewe ni mfalme,
Waondoa giza kila uingiapo,
Macho yako yang’aa ni kama moto,
Kwa damu yako, tumesamehewa,
Sawa na utajiri wa neema yako.
Nami leo naimba, nakuabudu,
Nami leo nasifu, uaminifu wako.
Refrain:
Wewe ni Mungu haulinganishwi,
Na yeyote,
Wewe ni Bwana haufananishwi,
Na yeyote. (Repeat)
Bridge:
Mwanga wangu, mwokozi wangu,
Mwokovu wangu, mtetezi wangu,
Mwanga wangu, mwokozi wangu,
Ngome imara, kwako tumesimama.
Refrain:
Wewe ni Mungu haulinganishwi,
Na yeyote,
Wewe ni Bwana haufananishwi,
Na yeyote. (Repeat)
Refrain: Tumsifu Bwana,
Enzi ni pake,
Amejawa na rehema,
Njoni tumwimbie,
Ametuokoa Yesu,
Ameturehemu,
Ametufilia Yesu,
Jehova anatupenda,
Tuinue mikono yetu,
Kwa shangwe na vigelele….
Yeye bado anaponya/aokoa…