ads

Monday 9 January 2017

DAMU - ESTHER WAHOME











Sioshwi dhambi zangu, bila damu yake,
Nahitaji kabisa, dawa ya makosa yangu,
Ndiposa nakimbia pale msalabani,
Haya initakase, damu ya mkombozi.

Damu, damu, damu ya mkombozi damu,
Damu, damu, damu ya mkombozi damu.

Sipati patanishwa, bila damu yake,
Hukumu yanitisha, ila hiyo damu,
Ndipo namlilia, aliye mwaga damu,
Sasa initakase, damu ya mkombozi.

Damu, damu, damu ya mkombozi damu,
Damu, damu, damu ya mkombozi damu.

Sipati tumaini, bila damu yake,
wema wala amani, pia na usalama,
Ndipo namtazama, huyu mwana kondoo,
Ili initakase, damu ya mkombozi.

Damu, damu, damu ya mkombozi damu,
Damu, damu, damu ya mkombozi damu.




www.gospelyrix.com







No comments:

Post a Comment