ads

Monday 9 January 2017

HESHIMA YA DHAHABU - BAHATI BUKUKU

CHORUS:
[Ukiinuliwa na wanadamu, wanadamu, watakushusha chini,
ukiinuliwa na Mungu juu, ni lazima utakuwa juu.]x2
[cha mwanadamu kitakufa tu, cha Mungu lazima kionekane juu.]x2

[oh mbona unalia? Ni Mungu kakueka juu] x2
[ni Mungu kakueka juu, lazima mambo yako yatakuwa juu] x2
[hawawezi kuihadaa isiraeli, kwenye ramani ya dunia,
amini usiamini, itakuwa taabu, maana ni Mungu kaiinua] x2
[cha mwanadamu kitakufa tu,
cha Mungu lazima kionekane juu] x2

CHORUS:
[Ukiinuliwa na wanadamu, wanadamu, watakushusha chini,
ukiinuliwa na Mungu juu, ni lazima utakuwa juu.]x2
[cha mwanadamu kitakufa tu,
cha Mungu lazima kionekane juu.]x2

Oh utakuwa juu, ni Mungu kaueka juu
kimaisha utakuwa juu, ni Mungu kauweka juu,
kielimu utakuwa juu, ni Mungu kakuweka juu,
ni Mungu kakuweka juu, lazima mambo yako yatakuwa juu x2
ooh usilie, wewe ni dhahabu, x2
dhabu ikipita kwenye moto itangara tu,
dhabu ni tofauti na jiwe, jiwe litapasuka tu,

Oh utakuwa juu, ni Bwana kaueka juu
kimaisha utakuwa juu, ni Bwana kauweka juu,
kielimu utang'ara juu, ni Bwana kakuweka juu,
ni Mungu kakuweka juu, lazima mambo yako yatakuwa juu x2
mti wenye matunda unapigwa mawe,
maeneo yenye madini yanatorokwa,
kwa kuwa Mungu amekuweka juu lazima mambo yako yatakuwa juu.

CHORUS:
[Ukiinuliwa na wanadamu, wanadamu, watakushusha chini,
ukiinuliwa na Mungu juu, ni lazima utakuwa juu.]x2
[cha mwanadamu kitakufa tu,
cha Mungu lazima kionekane juu.]x2

[aliyeinuliwa na wanadamu, wanadamu,
lazima watamshusha chini
aliyeinuliwa na Mungu juu,
ni lazima atakuwa juu] x2
[cha wanadamu kitakufa tu,
cha Mungu lazima kionekane juu.]x2

Oh utakuwa juu, ni Mungu kaueka juu
ofisini kwako utakuwa juu, ni Mungu kauweka juu,
kielimu utakuwa juu, ni Mungu kakuweka juu,
ni Mungu amekuweka juu, lazima mambo yako yatakuwa juu x2
nipe baraka itatiririka, adui zako wataoga humo,
kwa kuwa Mungu amekuweka juu, lazima mambo yako yatakuwa juu,
[huwezi kuihadaa isiraeli, kwenye ramani ya dunia,
amini usiamini, itakuwa taabu, maana ni Mungu kaiinua] x2
cha mwanadamu kitakufa tu,
cha Mungu lazima kionekane juu.

CHORUS:
[Ukiinuliwa na wanadamu, wanadamu, watakushusha chini,
ukiinuliwa na Mungu juu, ni lazima utakuwa juu.]x2
[cha mwanadamu kitakufa tu,
cha Mungu lazima kionekane juu.]x2

www.gospelyrix.com

No comments:

Post a Comment