ads

Monday 9 January 2017

JUMAPILI BY DADDY OWEN











Neno la Bwana ni upanga mkali unaokata pande zote,
wateule tusifu moyo,
yeye yule aliyeanzisha kazi njema ndani yetu,
ameahidi atakamilisha.

Refrain:
kila siku ni kama jumapili, (jumapili)
kila siku kwangu, ni kama jumapili (jumapili x2

jumatatu kufunga na kuomba,
jumanne shiriki na wajane na yatima,
jumatano baba, chambua bibilia,
alhamisi, shiriki na wafungwa na wagonjwa,
ijumaa Baba kesha kanisani,
(kesha na kuomba),
jumamosi (jumamosi),
tangaza neno lako Bwana Yesu.

Refrain:
kila siku ni kama jumapili, (jumapili)
kila siku kwangu, ni kama jumapili (jumapili x2

neno lako Bwana nahubiri,
kwa nyimbo zangu za injili,
kwa maana wewe ndiye mwamba,
imara na salama,
(nitangaze, nihubiri, nishiriki, nisifu)x2
(oh Yaweh, Yaweh) x3
oh Yaweh.

Refrain: x2
kila siku ni kama jumapili, (jumapili)
kila siku kwangu, ni kama jumapili (jumapili x2

wateule tusiwe wakristo wa jumapili pekee,
siku zote tukamilishe injili,
na tutimize wajibu tuliopewa na Yesu Kristo,
watembelee wagonjwa hospitalini,
ushiriki na mayatima na wajane,
kuwasaidia wasiojiweza,
na kuendeleza injili hadi pande zote za dunia,
kutii amri zake mwenyezi Mungu,
na kufuata maagizo yake,
tutii amri.





www.gospelyrix.com







No comments:

Post a Comment