ads

Monday 9 January 2017

VUMILIA BY SIZE 8











Kwa macho nikikuona,kwa njewapendeza,
umejipodoa na make ups, you look so fine,
unakaa waumia, moyoni wateseka,
walia ah, umenitunza jipodoa,
na sasa nimeshagundua, nahis kujiua.

CHORUS:
(we oh)x2, vumilia mama, (we oh) x2
zidi kumwombea atabadilika (we oh)x2
unajua Mungu hapendi utengano, (we oh)x2
mapenzi safari.

naenda, x2 sitaki balaa,
naenda x2, sitaki noma naye.

husiniache kwako wana wanakuhitaji,
(no no)x2
na watoto wataniuliza vipi mummy katoroka,
kama ningemnyima penzi,
angeniita mchoyo, muumba wangu moyo,
atavuna kibogoyo.

CHORUS:
(we oh)x2, vumilia baba, (we oh) x2
zidi kumwombea atabadilika (we oh)x2
unajua Mungu hapendi utengano, (we oh)x2
mapenzi safari.

naenda x2, sitaki balaa,

aenda, x2 sitaki balaa,
naenda x2, sitaki noma naye,
husiache wako wanakuhitaji,
(no no x2)

unajua mama bwana wako,
ukufanya husijihisi wa dhamana,
kwa kukutesa sana x2
kila unayo malazi mwenye dawa ni mola,
so inabidi uvumilivu iwe dawa yako,
husiwe wa kasi kuondoka mama,
husiwe mwepesi wa hasira mama.

(we oh x2), vumilia mama, (we oh x2)
zidi kumwombea atabadilika (we oh x2)
unajua Mungu hapendi utengano, (we oh x2)
mapenzi safari.

Mungu akikutazama nini atajivunia,
ukifanya utengano ambalo analichukia,
sawa narudi, narudi sitavunja ndoa,
sawa narudi, narudi nitamwomba Mola,
usiyesamehe, rudi nyumbani, (vumilia x3)
narejea, narudi nyumbani, x2 (vumilia x3)





www.gospelyrix.com







No comments:

Post a Comment