ads

Monday 9 January 2017

NAKUTEGEMEA - BAHATI BUKUKU











[Nakutegemea Mungu wangu,
nalitumaini jina lako Baba,] x2
usinyamaze Baba x2

usinyamaze Jehovah,
nakutegemea Mungu wangu,
nalisubiria jina lako,
linitoe katika katika mateso,
linitoe katika majaribu,
usinyamaze Baba, X2
usinayameze,
vita vyangu imekuwa kubwa,
Baba eeh,
uliyetenda Baba,
waliotangulia,
uliyetenda wakati wa manabii,
jehovah usinyamaze kwangu,
usinyamaze, nakusubiria,
ninakusubiria Jehovah,
nakutumaini,
ninakutumaini Messiah

CHORUS:
[Nakutegemea Mungu wangu,
nalitumaini jina lako Baba,] x2
usinyamaze Baba x2

ninachojua Mungu wangu,
upande niliosimama mimi,
niko upande wa ushindi,
ninachojua Jehovah,
upande nilio ni wa ushindi,
ata ngurumo zipige,
ata majaribu yakija,
siwezi kukuacha Baba,
ata vita ikiongezeka,
siwezi kuacha jehovah,
nakutegemea Mungu wangu,
najivunia jina lako mimi,
acha nifurahie wokovu,
maana wewe, maana wewe,
ni zaidi ya viti vya dunia,
inanifaa nini nifuate dunia,
ila nikasema mbingu Baba,
bado nakusubiria mimi,
bado nakutegemea Baba,
bado nakusubiria,
eeeh ohh oh,

CHORUS:
[Nakutegemea Mungu wangu,
nalitumaini jina lako Baba,] x2
[usinyamaze Baba.]x2




www.gospelyrix.com







No comments:

Post a Comment