ads

Monday 9 January 2017

NAPOKEA KWAKO - CHRISTINA SHUSHO











Maisha magumu sana nimepitia,
Nikajaribu tafuta msaada Sikupata,
Nikaendea Mwanadamu mwisho akanidharau,
Kumbe Msaada wa mwanadamu unatoka kwa,
Mungu.

[Christina Shusho]
Nilijua wapo wenye haki yakubarikiwa tuu.
Kumbe baraka nihaki ya kila mmoja.

[Janet Otieno]
Nimebadili wazo langu namwelekea Mungu,
Kwake msaada wangu unapatikana.

[Christina Shusho]
Msaada wa mwanadamu ni wa muda mfupi,
Nami zamu yangu kubarikiwa weeee.

CHORUS
Wakati ni uu huu waku barikiwa,
Zamu ni yangu sasa kupokea,
Nimechoshwa na shida za dunia,
Napokea Kwako Baba Napokea Kwako,
Napokea Kwako Baba Napokea kwako,
Napokea Kwako Yesu Napokea Kwako,
Napokea Kwako Baba Napokea Kwako.

Verse 2
[Christina Shusho]
Nimeamua Kwenda Zaidi Na Zaidi,
Nimejipanga hadi nione matunda yake.

[Janet Otieno]
Yale Mungu Amewekeza Ndani Yangu,
Najua Mungu yuko Kazini Kunikamilisha.
[Christina Shusho]
Akisema nimebarikiwa nimebarikiwa tuu,
Hataukipinga wewe leo mimi nimebarikiwa tuu.
[Janet Otieno]
Mlima gani kuu sana Usioung’owa,
(Usioung’owa ee)
Jaribu gani gumu sama usiloweza,
( Usiloweza Mungu Wee)
Chozi gani zito kwako usilolifuta, ( Mizito Mizito)
Maombi Gani Kubwa Sana Usilolijibu,

CHORUS
Wakati ni uu huu waku barikiwa,
Zamu ni yangu sasa kupokea,
Nimechoshwa na shida za dunia,
Napokea Kwako Baba Napokea Kwako,
Napokea Kwako Baba Napokea kwako,
Napokea Kwako Yesu Napokea Kwako,
Napokea Kwako Baba Napokea Kwako.

Wakati ni uu huu waku barikiwa,
Zamu ni yangu sasa kupokea,
Nimechoshwa na shida za dunia,
Napokea Kwako (Baraka Yangu),
Baba Napokea kwako,
Napokea Kwako( Afya Yangu),
Baba Napokea kwako,
Napokea Kwako (Utajiri wangu),
Yesu Napokea kwako,
Napokea Kwako (Elimu Yangu)
Baba Napokea kwako,
Wakati ni uu huu waku barikiwa,
Zamu ni yangu sasa kupokea,
Nimechoshwa na shida za dunia,
Napokea Kwako (Napokea Kwako)
Baba Napokea kwako,
Napokea Kwako (Kazi Yangu)
Baba Napokea kwako,
Napokea Kwako (Na Watoto Wangu)
Yesu Napokea Kwako,
Napokea Kwako Baba Napokea Kwako.





www.gospelyrix.com







No comments:

Post a Comment