ads

Monday 9 January 2017

NAPENDA - CHRISTINA SHUSHO

Napenda nione ukinitendea,
Napenda nione ukininbariki,
Napenda nione ukiniinua,
Kila kitu kwako mimi napenda,
Napenda nione ukiniponya,
Napenda nione ukinifariji,
Napenda nione ukiniinua,
Kila kitu kwako Bwana mimi napenda,
[repeat]

CHORUS:
Napenda napenda, kila kitu kwako mimi napenda,
Napenda O napenda, Kila kitokacho kwako mimi,
napenda,
Yesu we napenda, mambo yako napenda.

[CHORUS]
Napenda napenda, kila kitu kwako mimi napenda,
Napenda O napenda, Kila kitokacho kwako mimi,
napenda,
Yesu we napenda, mambo yako napenda.

Napenda neno lako,
Napenda hekima zako,
Napenda sifa zako Yesu,
Kila kitu kwako mimi napenda,
Napenda hukumu zako,
Napenda huruma zako,
Napenda rehema zako,
Kila kitokacho kwako mimi napenda,
Mfalme nakupenda,
Habari zako nazipenda.

CHORUS
Napenda napenda, kila kitu kwako mimi napenda,
Napenda O napenda, Kila kitokacho kwako mimi,
napenda,
Yesu we napenda, mambo yako napenda.

Napenda utawala wako,
Napenda ahadi zako,
Napenda njia zako Yesu,
Na mafudisho yako, na ukarimu wako.

CHORUS
Napenda napenda, kila kitu kwako mimi napenda,
Napenda O napenda, Kila kitokacho kwako mimi,
napenda,
Yesu we napenda, mambo yako napenda.

www.gospelyrix.com

No comments:

Post a Comment