ads

Monday 9 January 2017

NI KWA NEEMA - CHRISTINA SHUSHO











Ni kwa neema tu x8

Ni kwa neema tu x8

neema n i upendo leo, sikustahili
nilikua mfungwa, nimewekwa huru,
amenipa uzima, wakati nilistahili kifo,
amenifanya mwana, niliyeuwa mfungwa,
wokovu nilio nao ni kwa neema tu,
alijitoa Yesu, aniokoe,
aliacha enzi , na utukufu mbinguni,
kanino mwenye dhambi, kaniokoa,

Ni kwa neema tu x8

uhai nilio nao, ni kwa neema tu
elimu ulio nayo, ni kwa neema tu,
heshima uliyo nayo, ni kwa neema ndugu yangu,
cheo ulicho nacho, ni kwa neema tu,
mali ulizo nazo, ujue ni kwa neema tu,
huduma niliyo nayo, najua ni kwa neema tu,
ningetakiwa cheti, ningetoa wapi mie?
ila neema yake Mungu wangu ukaniona,

Ni kwa neema tu x8

hallo, hallo, x8

Ni kwa neema tu x8
Ni kwa neema tu x8





www.gospelyrix.com







No comments:

Post a Comment