ads

Monday 9 January 2017

NINA WIMBO - CHRISTINA SHUSHO











Nina wimbo, wimbo, wimbo x2
mimi nina wimbo, wimbo, wimbo,
mwenzenu nina wimbo, wimbo, wimbo,

eheeehhh
wohooooo, yeeeeh ahhh

Nina wimbo, wimbo, wimbo
mimi nina wimbo, wimbo wa sifa,
wimbo, wimbo, wimbo
wimbo wa shukrani,
wimbo, wimbo, wimbo,
Yesu wimbo wangu,
wimbo, wimbo, wimbo,

nitamwimbia Bwana kwakua ametukuka sana,
farasi nampanda, farasi amevuka bahari,
Mungu kwa rehema zake amewaongoza watu wake akawakomboa
vizazi vya watu wameskia na wametetemeka

nina wimbo, wimbo, wimbo,
mimi nina wimbo, wimbo, wimbo,
wimbo wangu ni Yesu,
mimi nina wimbo, wimbo,
mwenzenu nina wimbo,
wimbo, wimbo, wimbo,

eeh Bwana,
katika miungu nani aliye kama wewe,
mtukufu katika utakatifu
mwenye kuogopwa katika sifa zote,
mfanya maajabu kwa pekee
jehovah, jehovah x3
wewe ndiwe wimbo wangu
yaweh, yaweh x3
wewe ndiwe wimbo wangu
mwokozi, mwokozi
mkombozi, mkombozi
tabibu, tabibu,
wewe wimbo wangu
mwokozi, mwokozi,
tabibu, tabibu,
wewe wimbo wangu
rabbi, rabii x3
wewe wimbo wangu,
mwalimu, mwalimu, x3
wewe wimbo wangu,

nina wimbo, wimbo, wimbo,
Yesu wimbo wangu,
nina wimbo,
wimbo, wimbo, wimbo,
mimi nina wimbo, x2
wimbo, wimbo,wimbo,
Yesu wimbo wangu
wenzenu nina wimbo
wimbo, wimbo, wimbo
Yesu furaha yangu,
nina wimbo,
wimbo, wimbo, wimbo,
jawabu la shida zangu,
nina wimbo, wimbo, wimbo,
ukimwita anajibu,
nina wimbo,
wimbo, wimbo, wimbo,
wimbo wangu,
mwenzenu nina wimbo,
wimbo, wimbo, wimbo,

(nina wimbo,
wimbo, wimbo, wimbo) x4
Wimbo wa rafiki yangu kipenzi,
Yesu rafiki yangu,
mimi nina wimbo,
wimbo, wimbo, wimbo,
mimi nina wimbo,
nina wimbo,
wimbo, wimbo, wimbo,
haleluyah
mwenzenu nina wimbo,
wimbo, wimbo,wimbo.




www.gospelyrix.com







No comments:

Post a Comment