ads

Monday 9 January 2017

NIMETAMBUA - DADDY OWEN

mm Bishop Ben bahati, raha ama sio raha
Ni mr.Iggy iggy na Daddy Owen
R kay Acha bassline bwana

Chorus:
Sasa nimetambua ya kwamba kwa yesu kuna raha,
Sasa nimetambua ya kwamba kwa yesu kuna raha,
There is Joy in the Lord.

Na mademu nilipanga, panga sana, Lakini sikutosheka,
Nayo boza nilichoma, choma sana, Lakini sikutosheka,
Nakutindi nilitindi, tindi sana, Lakini sikutosheka.
God is good, God is good all the time,
I swear Mr. Iggy iggy pray unto him,
God is good, God is good every time,
That is why we ready to know more of you,
I have seen Bmw, I’ve seen many benz
All them dem mean nothing to me
Rufftome mr. Miggy iggy, daddy owen
Ben Bahati We tell you that you just have to follow Christ.

Chorus:
Sasa nimetambua ya kwamba kwa yesu kuna raha,
Sasa nimetambua ya kwamba kwa yesu kuna raha,
Na masomo nilisoma, mpaka ng’ambo, Lakini sikutosheka,
Nazo ndege nilipanda, panda sana, Lakini sikutosheka
Nayo raha niliponda, ponda sana, Lakini sikutosheka,
Nishampata kweli mimi nishampata,
Kama ni pesa, mali nishaona,
Ee za dunia mi sitaki, nalilia wana wote wenye haki,
Oo Sasa mi nimetambua, za dunia zanyauka ka maua,
Oo yote sasa zinapita, zinapita zinakwisha zakatika.

Chorus:
Sasa nimetambua ya kwamba kwa yesu kuna raha,
There is Joy in the Lord,
Sasa nimetambua ya kwamba kwa yesu kuna raha,
There is Joy in the Lord.

Ulimwengu ni hasara, bali kwa Yesu ni faida,
Tumeona watu waliotishwa na mapesa, elimu na mashamba,
Lakini mwishowe pamoja na maskini wakaaga.

Chorus:
Sasa nimetambua ya kwamba kwa yesu kuna raha,
There is Joy in the Lord,
Sasa nimetambua ya kwamba kwa yesu kuna raha,
There is Joy in the Lord.

www.gospelyrix.com

No comments:

Post a Comment