ads

Monday 9 January 2017

MBONA - DADDY OWEN











Verse 1:
Tarehe kama saba mwezi wa saba,
Miaka zimepita kumi na saba,
Humu duniani nishajipata,
Mimi, mimi, niko nilivyo,
Sina baba wala mi sina mama,
Siwezi enda mbali, mi najificha,
Nachoka kujificha, najitokeza,
Mimi, mimi, niko nilivyo,
Nafunga virago vyangu, naenda mbali,
Sijui nifanye nini, niende wapi,
Nifuate nani mimi, nimwite nani,
Mimi mimi niko nilivyo,
Sioni mbona nyinyi mwanikimbia,
Sioni mbona nyinyi mwanidharau,
Sioni mbona nyinyi mwaniepuka,
Mimi mimi niko nilivyo,

Chorus:
Mbona? Mbona? Mbona?
Mbona? Mbona? Mbona?
Mbona? Ahh mbona? x2

Verse 2: (Denno)
Wakati Mungu aliniumba,
Alipanga mpango wake,
Kwamba mimi niwe jinsi nilivyo,
Mbona, sasa hamnidhamini?
Mwaniona kama sifai,
Sikuchagua niwe jinsi nilivyo,
Nikitembea barabarani, macho mmenikazia,
Mbio mbio mwaniondokea, mimi ni kama nyinyi,

Chorus:
Mbona? Mbona? Mbona?
Mbona? Mbona? Mbona?
Mbona? Ahh mbona? x2

Verse 3:
Kwanini mwaniepuka, Na mimi ni kama tu wewe,
Na mimi ni kama tu wewe,
kwanini mwanidharau? kwanini mwanidharau?
Na mimi ni kama tu wewe, Na mimi ni kama tu wewe,
Kwanini wanikimbia? Kwanini wanikimbia?
Na mimi ni kama tu wewe, Na mimi ni kama tu wewe,
Kwa nini? Kwa nini?

Chorus:
Mbona? Mbona? Mbona?
Mbona? Mbona? Mbona?
Mbona? Ahh mbona? x2





www.gospelyrix.com







No comments:

Post a Comment