UMETENDA MEMA BY KAMBUA
Nakushukuru we, nakutukuza we,
Umenitendea mambo ya ajabu,
Mimi niseme je, ili nikushukuru?
Nasema Ewe Mungu, umenitendea.
Chorus:
Umetenda mema, umetenda mema, X3
Umetenda mema, ndio maana naimba.
(Repeat)
Wimbo wa moyo wangu, na nafsi yangu yote,
Yasema “ewe Mungu, umenitendea”,
Maisha yangu yote, nakutolea wewe,
Kwa maana Ewe Baba, umenitendea.
Chorus:
Umetenda mema, umetenda mema, X3
Umetenda mema, ndio maana naimba.
(Repeat)