WATU WOTE BY KAMBUA
Watu wote, pazeni sauti,
Mwimbieni Bwana wimbo mpya enyi watu wote,
Mwimbieni Bwana nchi zote kwani astahili,
Mwimbieni Bwana viumbe vyote pazeni sauti,
Mwimbieni Bwana, yeye ni mkuu.
Chorus:
Watu wote, paza sauti sifu Bwana,
Viumbe vyote, sifuni Bwana astahili,
Kwa vifijo, na kwa shangwe, vigelegele, sifu Bwana,
Kwa vifijo, na kwa shangwe, vigelegele, sifu Bwana.
Malangoni mwako naingia na shukrani,
Nyuani mwako sifa nitaimba,
Nitashuku nitahimidi jina lako,
Jina lililo kuu kuliko yote.
Chorus:
Watu wote, paza sauti sifu Bwana,
Viumbe vyote, sifuni Bwana astahili,
Kwa vifijo, na kwa shangwe, vigelegele, sifu Bwana,
Kwa vifijo, na kwa shangwe, vigelegele, sifu Bwana.
Let everything that has breath praise the Lord
Let everything that has breath praise the Lord
Let everything that has breath praise the Lord
Let everything, let everything
Chorus:
Watu wote, paza sauti sifu Bwana,
Viumbe vyote, sifuni Bwana astahili,
Kwa vifijo, na kwa shangwe, vigelegele, sifu Bwana,
Kwa vifijo, na kwa shangwe, vigelegele, sifu Bwana.