ads

Monday 9 January 2017

USHIRIKA NA ROHO - CHRISTINA SHUSHO











[Mimi nataka ushirika na wewe eeeh ewe, roho
mimi nataka ushirika na wewe, roho] x4

[Mimi nataka ushirika na wewe eeeh ewe, roho
mimi nataka ushirika na wewe, roho] x2

nimekubali habari hizi,
yakuwa wewe ni Mungu,
roho, roho nataka ushirika na wewe,
ulikuwepo tokea mwanzo, ulishiriki kuniumba,
roho, roho nataka ushirika na wewe,
nakuhitaji maishani, uhifadhi moyo wangu,
roho, roho nataka ushirika na wewe.

[Mimi nataka ushirika na wewe eeeh ewe, roho
mimi nataka ushirika na wewe, roho] x4

wayachukua ,maombi yetu,
watuombea kwa kuugua,
roho, roho nataka ushirika nawe,
ukiwa nasi twatiwa nguvu,
twatenda kazi kwa ujasiri,
roho, roho nataka ushirika nawe,
uyatawale maisha yangu,
sitaogopa ukiwa nami,
roho, roho nataka ushirika nawe,

[Mimi nataka ushirika na wewe eeeh ewe, roho
mimi nataka ushirika na wewe, roho] x4

wewe Mungu uliye hai,
tena roho wa kweli,
wewe kiongozi,
nataka ushirika na wewe,
wewe mafuta ya shangwe,
tena harabu ni yetu,
roho wa milele,
nataka ushirika na wewe,
wewe roho msaidizi,
tena mshauri wetu,
wewe kidole cha Mungu,
nataka ushirika na wewe.

[Mimi nataka ushirika na wewe eeeh ewe, roho
mimi nataka ushirika na wewe, roho] x4




www.gospelyrix.com







No comments:

Post a Comment