ads

Monday 9 January 2017

WAKUABUDIWA - CHRISTINA SHUSHO

CHORUS:
[Wakuabudiwa, wakuheshimiwa, ni wewe Mungu,
wakupewa sifa na utukufu, ni wewe Mungu,
Mungu mwenye nguvu, wastahili heshima zote,
hakuna mwingine wa kulinganishwa na wewe Mungu,] x2

Umesema wewe, nilalapo niko nilipo ndiwe Mungu,
unafanya mambo yaliyo juu ya fahamu zetu,
ukisema ndio nani awezaye pinga, hakuna,
wewe unatupa kushinda na zaidi ya kushinda,
unatupambisha utukufu hadi utukufu,
umesema wewe nilalako, ndiko niliko Mungu,
unafanya mambo yaliyo juu ya fahamu zetu,
ukisema ndio nani awezaye pinga, hakuna,
wewe unatupa kushinda na zaidi ya kushinda,
unatupandisha utukufu hadi utukufu.

CHORUS:
[Wakuabudiwa, wakuheshimiwa, ni wewe Mungu,
wakupewa sifa na utukufu, ni wewe Mungu,
Mungu mwenye nguvu, wastahili heshima zote,
hakuna mwingine, wa kulinganishwa na wewe Mungu,] x2

[uzima wetu, uko mikononi mwako Mungu,
unawapa nguvu wanyonge na wadhaifu Mungu,
unawanyeshea wema nao waovu Mungu,
mwanadamu nani, wa kulinganishwa nawe Mungu,
nani mwenye nguvu ya kusimama mbele yako Mungu.] x2

CHORUS:
[Wakuabudiwa, wakuheshimiwa, ni wewe Mungu,
wakupewa sifa na utukufu, ni wewe Mungu,
Mungu mwenye nguvu, wastahili heshima zote,
hakuna mwingine, wa kulinganishwa na wewe Mungu,] x2

www.gospelyrix.com

No comments:

Post a Comment