ads

Monday 9 January 2017

HAFUNGI MACHO - DADDY OWEN











CHORUS:
Mungu Baba yeye hafungi macho,
Habadiliki jana leo na kesho,
Azijua raha na shida zako,

Macho yake makali yaona mambo yote,
Hata yale yamefichika anaona,
Hana jambo la siri asioliona,
Umekosa chakula mavazi hata pesa,
Kodi ya nyumba karo ya shule hata mchumba,
Unadhani sasa dunia imefika mwisho

CHORUS:
Mungu Baba yeye hafungi macho,
Habadiliki jana leo na kesho,
Azijua raha na shida zako.

Jirani, wacha mirungirungi, rafiki wacha maneno mengi,
Sijui kwa nini wanisema, Eti mimi, nimekuwa kafiri,
Eti mimi nimekuwa mrui, sijui, wala sisemi kitu.

CHORUS:
Mungu Baba yeye hafungi macho,
Habadiliki jana leo na kesho,
Azijua raha na shida zako.

Akisema yuakuona jamani usitie shaka,
Ye halali na hachoki na wala ye habadiliki,
Azijua raha zako, azijua na shida zako,
Tuimbeni halleluya Hossanah ye amefufuka,
Haleluyah, ye halali na hachoki na wala ye habadiliki,
Haleluyah, tuimbeni haleluya Hossana ye amefufuka,

CHORUS:
Mungu Baba yeye hafungi macho,
Habadiliki jana leo na kesho,
Azijua raha na shida zako.




www.gospelyrix.com







No comments:

Post a Comment