ads

Monday 9 January 2017

KAZI YA MSALABA - DADDY OWEN











Baraka nimepokea, kwako nimetulia mimi,
Nisije tumbukia kwa mambo ya dunia,
Kwako nijifiche milele,
Fitina zanizingira, anasa kila kona,
Kwa mikono yako, niweke mtakatifu,
Tokea leo hadi milele.

[Niwie radhi mimi, kwa makosa yote,
Anipenda, anijali, anipenda.] X2

Refrain:
Kazi ya msalaba,
Nimeipokea, nimekubali,
Nitakusifu, nitakuimbia milele, X2

Ilikuwa ni juzi tu, mwanzo kwangu katembea,
Ukapumzisha kwangu kugonjea,
Lakini kwako zaidi nasogea,
Nishiriki nawe kwa mazoea,
Zile kwako ndo napokea,
Nikuone, kwangu Baba ukinitendea.
Wewe ndo wangu tu, mimi na wewe tu,
Nikwone kwangu ukinitendea. X2

Refrain:
Kazi ya msalaba,
Nimeipokea, nimekubali,
Nitakusifu, nitakuimbia milele, X2

Siri ni Yesu/Baba,
Siri ni yesu x2
siri ni yesu

Refrain:
Kazi ya msalaba,
Nimeipokea, nimekubali,
Nitakusifu, nitakuimbia milele, X2




www.gospelyrix.com







No comments:

Post a Comment