ads

Monday 9 January 2017

WANIFANYA NING'ARE - CHRISTINA SHUSHO





















Aah damu ya yesu imenifanya ning'are
(CHORUS)
Umenifanya ning'are ×2 yesuu
Umenifanya ning'are ×2 yesuu
Wewe waitwa nuru, eti nuru ya watu
Ukiingia kwangu mi nang'araa
Ndani ya hiyo nuru... eti kuna uzima
Ukiingia kwangu nina uzimaa...
Uso wake yesu, aliyesura yake mungu
Umeingia kwangu, mi nang'araa
Nuru wa injili, utukufu wake christo
Umeingia kwangu mi nang'araa
(CHORUS)
Inuka uangazee, nuru yako imekuja
Utukufu wa bwana umekuzukia wee
Mataifa watakujia, wafalme watakuja
Utukufu wa bwana umekuzukia wee ×2
(CHORUS)




www.gospelyrix.com












www.gospelyrix.com







No comments:

Post a Comment