ads

Monday 9 January 2017

MAGONJWA YOTE - BAHATI BUKUKU











Nguo walimvua, x4
mwanadamu alipoasi mbele zako, x2
Mungu wa huruma, ulimhurumia, x2
ulimtoa Yesu, kwa gharama kubwa x2
oh-h-h-h-h.

Nguo walimvua, x2
misumari alipigwa, oh
ni mije... alipigwa,
alipopigwa mijeleti ilitoka na nyama,
maumivu makali yeye aliyapata,
neno la Mungu linasema hivi,
kwa kupigwa kwake sisi tumepona,
kwa kupigwa kwake, umepona ukimwi,
kwa kupigwa kwake, umepona kansa,
kwa kupigwa kwa Yesu, kansa wanapona,
amesema vile, amesema vile,
ndugu yangu, Mungu si mawanadamu atasema uongo,
na kama Mungu akiahidi jambo, ni lazima atalitekeleza,
ni kuamini na kusimama katika neno,
kama Mungu asingeliweza kuponya ukimwi,
angeandika kwenye neno lake,
ninaponya magonjwa yote isipokuwa ukimwi,
kwa nini Mtanzania ufe?
ikiwa mapepo yanakemewa yanapona,
basi ata ukimw Mungu ataweza ponya,
kama vile Musa alivyowaambia wanaisiraeli,
tazameni yule nyoka wa shebaha utapona
namimi nakutakia, simama katika neno utapona katika jina la Yesu,
alipopigwa mjeleti nyama zilimtoka,
alipochomwa mkuki, damu na maji zilitoka,
kwa msamaha huo, sisi tumepata,
kwa msamaha huo, uzima tumepata,x2
ata nguo walimvua,mijeleti alipigwa,
wewe hutakufa,
ni lazima watanzania,
swali ni kujiuliza,
ndugu zangu wapendwa, swali kujiuliza,
kama wadhani umeshindwa, Mungu ameshinda,
ata nguo walimvua.
usiogope majibu ya daktari,
hayo majibu ya daktari wala siyo ya Mungu,
kwa kua umetangaziwa uponyaji,
kwa kupigwa kwake umepona,
aibu yako ilikuwa juu yake,
sio sababu ya kulalamika,
na kwa nini ufe?
leo hii nakutangazia uponyaji,
ukisha mwamini Yesu na kutubu dhambi zako,
umekwishaa pona,usitende dhambi tena,
msamaha tumepata, uzima tumepata,
maana nguo walimvua,
nguo walimvua, misumari alipigwa,
taji la miba alivikwa,
ule msumari, ndio ushindi wako,
na ule msumari, ndio uzima wako,
ile damu na maji, inakeusha ukimwi
ile damu na maji, ndiyo inaponya,
nguo walimvua x2
wewe unayesikia sauti hii,
haijalishi unaumwa kiasi gani,
haijalishi watu wanasema namna gani,
wengine wanangojea kwamba utakufa,
lakini nakwambia hautakufa,
ili usimulie wema wa Bwana,
kama Yesu alivuliwa nguo,
basi zile aibu zako Baba amezibeba,
amini leo, mwamini Yesu kuwa Bwana na mwokozi maishani,
hautakufa utaishi,
kwa sababu umesimama katika neno,
mwambie Bwana Yesu anatosha,
amini leo hii, wala usisikie vipimo vya daktari,
sasa ni zamu ya Mungu, kujitukuza,
ni wakati wa Yesu kuinuliwa, ni wakati wa Yesu kutukuzwa,
mwambie Bwana Yesu unataka uponyaji,
Mungu ndiye aliyewaponya wenye ukoma, x2
ndugu yangu mtanzania, hatutakufa tutaishi
ili tusimulie ukuu wa Mungu,
kwa kupigwa kwako Yesu msamaha tumepata
kwa kupigwa kwako Yesu, Tanzania tumepona,
kwa kupigwa kwako Yesu, Africa tumepona,
nguo walimvua,
laana ya ukimwi haipo tena,
[kumbuka Musa aliwaambia wana israeli,
mtazame nyoka wa shama, nyi wote mtapona.] x2




www.gospelyrix.com







No comments:

Post a Comment