ads

Monday 9 January 2017

MAPITO - CHRISTINA SHUSHO











CHORUS:
(Ni mapito, mapito ya dunia hii,
ni mapito, unapitishwa tu,
unayo yaona, ujue ni mapito ndugu,
mapito yako, ni kipimo cha imani.) x2

futa machozi, ujue ni mapito ndugu,
unayelia, kumbuka hayo ni mapito tu,
mapito yako, kipimo cha imani yako,
jipe moyo, Mungu yu nawe,
Mungu wetu, si kiziwi asisikie,
anajua unayoyapitia, jipe moyo,
yeye yu pamoja nawe,
ushindi wako, umekaribia.

CHORUS:
(Ni mapito, mapito ya dunia hii,
ni mapito, unapitishwa tu,
unayo yaona, ujue ni mapito ndugu,
mapito yako, ni kipimo cha imani.) x2

haijalishi unayopitia,
wengine kati yetu wanapanda mlima,
na wengine wakishuka,
lakini kwa yote unayopitia maishani mwako,
jipe moyo simama kwa imani,
mtumaini Bwana,
maana mapito unayopitia leo ni kipimo cha imani,

jaribu alipopata isipokuwa ilikuwa kawaida ya binadamu,
lakini Bwana utondoe na yoyote yote-e-e-e,
nasema nawe, jipe moyo, songa mbele,
futa machozi, ushindi wako umeukaribia,
ata kama jaribu lako limekua kubwa kama mlima,
yeye Yesu atafanya mpango wa kutokea,
adui akujaye kwa njia moja ata tawanyika kwa njia saba,
jipe moyo.

CHORUS:
(Ni mapito, mapito ya dunia hii,
ni mapito, unapitishwa tu,
unayo yaona, ujue ni mapito ndugu,
mapito yako, ni kipimo cha imani.) x2




www.gospelyrix.com







No comments:

Post a Comment