ads

Monday 9 January 2017

NITAYAINUA MACHO - CHRISTINA SHUSHO











[Nitayainua macho yangu juu, nitazame milima,
msaada wangu utatoka wapi,
msaada wangu u katika Bwana,
majeshi yajapo, jipanga kupigana nami,
moyo wangu hautaogopoa, maana najua husinzii,
wala hutalala, Bwana wangu utanipigania.] x2

[eh Bwana, nimengojea wokovu wako
na maagizo yako umeyatenda,
nafsi yangu nimezishika shuhuda zako
nami nipe kupenda mno,
imeya, shika mahusia yako,
maana njia zangu zi mbele yako,] x2

[Bwana kilio changu na kikukaribie,
unifahamishe sawa na neno lako,
dua yangu na ifike mbele zako,
uniponye sawa na ahadi yako,
midomo yangu itoe sifa kwako,
ulimi wangu uimbe ahadi yako,
nafsi yangu na iishi ipate kukusifu,
hukumu zako zinisaidie.] x2

[eh Bwana, nimengojea wokovu wako
na maagizo yako umeyatenda,
nafsi yangu nimezishika shuhuda zako,
nami nipe kupenda mno,
imeya, shika mahusia yako,
maana njia zangu zi mbele yako,] x2




www.gospelyrix.com







No comments:

Post a Comment